Mpigie kura Illuminata Wize Mrambo wa Tanzania Miss Universe 2009 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpigie kura Illuminata Wize Mrambo wa Tanzania Miss Universe 2009

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zed, Aug 20, 2009.

 1. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2009
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Last edited: Aug 20, 2009
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa nimesahau kwamba Trump yuko pia kwenye mambo ya urembo kama partner wa Miss Universe.
  Kwenye kitabu chake cha "Think like a champion" anasifia kweli viwanja vyake vya golf.
  Tizama hapa, www.trump.com

  Mambo ya ulimbwende yanalipa.


  [​IMG]
  Nchi zilizowahi kushinda

  Angalia ukubwa wa Venezuela (orange), walioshinda mara 5, halafu linganisha na ukubwa wa China au Urusi
   
  Last edited: Aug 21, 2009
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ni vema tukimuunga mkono huyu binti. Mimi nimeshapiga kura huko. Wana JF wote na wageni just click hiyo link nenda kule ufanye registration, ni faster theni piga kura yako. Ni furaha kwa yuko above the avarage points ila tumpandishe pale juu. Your vote will make a difference just kuonyesha uzalendo. Vote now!!!
   
Loading...