Mpigania Haki za Mapenzi ya Jinsia moja, Goodluck Haule na wenzie watatu waburuzwa mahakamani

Ushoga kama umalaya ulikiwepo na itakuwepo. Makonda amefanya nini kukomesha uchangudoa? So long as anaefanya anapenda na anaefanywa ameridhika na hicho kitendo na wanafanyia sirini, Sisi wengine tutabaki na maneno tu.
 
View attachment 1147141

Mpigania Haki za mashoga (LGBT) Nchini Goodluck Haule na wenzie watatu wameshitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Ilala, Dar es salaam kwa makosa mbali mbali ikiwemo kusambaza ushoga Nchini pamoja na kutorosha mashoga Nchini kinyume na sheria.
Taarifa za Jeshi la Polisi Tanzania zinasema kwamba Haule na wenzie wamekuwa wakitumiwa na nchi za magharibi kupigania haki za mashoga na kusambaza ushoga Nchini.
Serikali imesema haipo tayari kuona Taifa linateketea kwa vitendo vya kishoga na ipo tayari kukabiliana na vikundi au watu wanaotumika kusambaza na kuhamasisha vitendo vya kishoga Nchini.
Taarifa za Jeshi la Polisi Tanzania zinasema kwamba Haule amekimbia nje ya nchi baada ya taarifa kwamba anatafutwa.


Je, nini maoni yako?
Shangazi yao hajakamatwe?
Wangemuunganisha na Lissu
 
Back
Top Bottom