Mpiga picha wa Rais ni nani kati ya hawa?

Swali lilipaswa kuwa Salva ni nani, na sio kazi yake ni nini?, kwani huyo Michuzi au Premmy unajua kazi zao ni nini ila kazi ya Salva ndio huijui?.

Ninachoweza kusema ni Salva ni Mkurugenzi wa Mawasiano Ikulu. Naombeni msiniulize zaidi mambo ya Ikulu, mimi sio mfanyakazi wa Ikulu, only Michuzi is a good friend!, wenyewe wa ikulu, wamo humu wamejaa kibao!, ila wamejinyamazia kimya kama sio!.
Ulichonifurahisha ni kwamba Wazee Msoga kumbe tunao humu wanaperuzi kama Guest, basi na sisi tutaendelea na wajibu wetu wa kuwaweka uchi hata kama wamevaa nguo.
 
Mkuu PASCO VIDEO GRAPHER yupo!
Are you sure?, please don't talk about a sound technician anae pose kama videographer!. Nilipokuwa journalist, misafara ya Ikulu abroad pia nilisafiri!, listern to me, Ikulu yetu haijawahi kuwa na videographer hata mmoja!. Hakuna profile documentary ya rais wetu yoyote tangu Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK ndie huyu anamaliza!. Wale jamaa wa still photo ndio wana pose kama videographer!, kama ni kushika tuu kamera kupiga video, mimi mpaka kids wangu wanashika kamera!. Videographer ni videographer, photographer ni photographer na sound technician ni sound technician!.
P.
 
Ulichonifurahisha ni kwamba Wazee Msoga kumbe tunao humu wanaperuzi kama Guest, basi na sisi tutaendelea na wajibu wetu wa kuwaweka uchi hata kama wamevaa nguo.
Kwa vile wengi wetu humu tunatumia pen names, you can never tell who is who?, unaweza kukuta ni Saigon, or may be Pasco!.
 
Swali lilipaswa kuwa Salva ni nani, na sio kazi yake ni nini?, kwani huyo Michuzi au Premmy unajua kazi zao ni nini ila kazi ya Salva ndio huijui?.

Ninachoweza kusema ni Salva ni Mkurugenzi wa Mawasiano Ikulu. Naombeni msiniulize zaidi mambo ya Ikulu, mimi sio mfanyakazi wa Ikulu, only Michuzi is a good friend!, wenyewe wa ikulu, wamo humu wamejaa kibao!, ila wamejinyamazia kimya kama sio!.

Wacha mambo yako mkuu Pasco kwani wana alama hawa waliomo humu? Ukute hata wewe mfanyakazi wa Ikulu so tumwagie tu na usiogope kuulizwa maswali zaidi
 
Humu ziliwahi mwagwa nondo mpaka za covert oparations za TISS itakuwa ikulu?. Pasco wa JF atatinga ikulu na timu ya 2015!, huzioni juhudi zangu humu?.
Kwa kweli kwa vumbi analotimuwa Lowasa na ukiangalia Zitto ameshanunuliwa na ukichukulia TB Joshua huwa asemi neno na lisitimie, basi Ikulu ya Magogoni iko wazi kwa Mwamba wa Kaskazini. Ongeza juhudi Pasco pale hata Salva mwenyewe anajiandaa kukusanya virago vyake.
 
Mbona safari hii ya Oman Michuzi katoswa?,alikuwa hana Msuli na kibarakashia au?
 
Swali lilipaswa kuwa Salva ni nani, na sio kazi yake ni nini?, kwani huyo Michuzi au Premmy unajua kazi zao ni nini ila kazi ya Salva ndio huijui?.

Ninachoweza kusema ni Salva ni Mkurugenzi wa Mawasiano Ikulu. Naombeni msiniulize zaidi mambo ya Ikulu, mimi sio mfanyakazi wa Ikulu, only Michuzi is a good friend!, wenyewe wa ikulu, wamo humu wamejaa kibao!, ila wamejinyamazia kimya kama sio!.
Haya, umenielekeza vizuri. Salva ni nani?
 
Kwa nchi zetu ni umasikini tuu unatusumbua kulitakiwa kuwepo na Video grapher wa Ikulu
Producer wa Ikulu
Presenter wa Ikulu
Narrator wa Ikulu
Editor wa Ikulu
Studio ya Ikulu. etc

Wala hatuna umaskini kiasi cha kushindwa kufanya vito so basic kama hivyo. Kwani itagharimu kiasii kufanya hayo yote, 300bn (Swiss)?
 
Are you sure?, please don't talk about a sound technician anae pose kama videographer!. Nilipokuwa journalist, misafara ya Ikulu abroad pia nilisafiri!, listern to me, Ikulu yetu haijawahi kuwa na videographer hata mmoja!. Hakuna profile documentary ya rais wetu yoyote tangu Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK ndie huyu anamaliza!. Wale jamaa wa still photo ndio wana pose kama videographer!, kama ni kushika tuu kamera kupiga video, mimi mpaka kids wangu wanashika kamera!. Videographer ni videographer, photographer ni photographer na sound technician ni sound technician!.
P.
MKUU umeuliza kama video grapher yupo, sikulazimishi kuamini, fuatilia kwa wakati wako....!
 
Swali lilipaswa kuwa Salva ni nani, na sio kazi yake ni nini?, kwani huyo Michuzi au Premmy unajua kazi zao ni nini ila kazi ya Salva ndio huijui?.

Ninachoweza kusema ni Salva ni Mkurugenzi wa Mawasiano Ikulu. Naombeni msiniulize zaidi mambo ya Ikulu, mimi sio mfanyakazi wa Ikulu, only Michuzi is a good friend!, wenyewe wa ikulu, wamo humu wamejaa kibao!, ila wamejinyamazia kimya kama sio!.

PASCO unajua kazi tarajiwa ya MM iwapo Membe atakuwa rais in the next general Election?
 
Siijui ila watu wa media huishia ubalozini!. Ben, Choks, Nkurlu, Maura so does Sal, Prem etc, Michu atafungua media yake, alianza na blog, sasa ana web site, photo studio, gazeti, anasambaza net, atafungua TV yake, ile michuzi blog itakuwa live!.
 
MKUU umeuliza kama video grapher yupo, sikulazimishi kuamini, fuatilia kwa wakati wako....!
Nakubaliana na wewe, aliyepo ni wa TISS kwa kutumia zile spy camera za kwenye miwani na kwenye peni au kifungo, na hizo footage ni classified for security purposes only just in case of anything!, bado unaweza kumuita ni videographer?!.
 
Humu ziliwahi mwagwa nondo mpaka za covert oparations za TISS itakuwa ikulu?. Pasco wa JF atatinga ikulu na timu ya 2015!, huzioni juhudi zangu humu?.
Kaka sahau hilo, kama unadhani EL atakuingiza Ikulu 2015 umebugi meen! Ha ha ha! Hakuna CCM tena 2015.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Humu ziliwahi mwagwa nondo mpaka za covert oparations za TISS itakuwa ikulu?. Pasco wa JF atatinga ikulu na timu ya 2015!, huzioni juhudi zangu humu?.

Ha ha ha..EL akiingia magogoni hakyanani ntatafuta kazi Rwanda nirejee baada ya miaka 10
 
Nakubaliana na wewe, aliyepo ni wa TISS kwa kutumia zile spy camera za kwenye miwani na kwenye peni au kifungo, na hizo footage ni classified for security purposes only just in case of anything!, bado unaweza kumuita ni videographer?!.
Ina maana hawa TISS kumbe wameganyika mafungu mengi, mbona wengi ninaowajuwa mimi ni vilaza pasee, sasa hapa umenifumbuwa akili, inawezekana TISS yetu imebaki ile ya kumlinda Rais tu lakini kwingineko ni halijojo.
 
Kaka sahau hilo, kama unadhani EL atakuingiza Ikulu 2015 umebugi meen! Ha ha ha! Hakuna CCM tena 2015. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Lengo la maisha is to be happy, hivyo kujifurahisha pia its part of life so does kuji please!.
 
Back
Top Bottom