Mpiga picha wa Diamond atoa machozi baada ya kuzawadiwa gari

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,517
habari wadau.

nimejifunza kitu kikubwa sana kwa diamond.. ambapo ni kuwa muajiri mzuri..

diamond japo hana elimu kubwa kama waajiri wengi.. ila anajua kuishi na wafanyakazi wake..

ndio maana hata walioacha kazi au kufukuzwa kazi.. bado wanampenda diamond na WCB kwa ujumla mfano kifesi, mwarabu fighter etc

imagine bosi wako anakupa bonus ya gari au hata baiskeli.. raha ya kujaliwa inavyokusukuma ujitume zaidi na zaidi

lukamba atoa machozi baada ya kupewa gari

kuna kitu nimejiuliza sana,ina maana Lukamba sik zote hakuwa na gar licha ya kufanya kazi na mtu mkubwa Afrika? je ina maana yoyote kumzawadia gari jukwaani km tunavyozawadiwa wafanyakazi bora siku ya Mei Moko? kwa jinsi tukio la jana lilivyoteka umma Ali Kiba na kundi lake walikosea timming ya kurelease ngoma yake hadi imedoda huko youtube au alitaka public sympathy kwamba WCB wameaandaa tukio lile kumzima?😁🤕🙌
 
Ndio maana nilimuona kwasasa anamlinda Irene Uwoya.
Amini nakwambia mwarabu fighter ña diamond wana historia ndefu hawajajuana juzi hawa nawajua kitambo tu sema nikiongea humu wabongo hawachelewi kusema nataka kiki wakati hata mwarabu mwenyewe anajua kama sinaga tabia ya kujipendekeza nilimthibitishia hilo miaka mitatu iliyopita Arusha..mwenyewe anajua
 
Back
Top Bottom