Mpiga picha anaanguka akitafuta focus nzuri- sio kwamba wanaihitaji protective material

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,348
6,472
Hii sio mchezo, pale mpiga picha anapoanguka wakati akitafuta focus nzuri huku mpigwa picha anakwepa 'mtutu' wa kamera. 'Mtutu' wa kamera ni zoom na focus rings/ mount lens.
Hivi sio vyema sasa wapiga picha wavae kofia ngumu na sponge-like suruali na mashati au vulana kama wacheza golf au clicket?

 
Duuu, vile tu freelancer ila angekuwa na msaidizi asingeanguka, maana kwenye field huwa mnaenda wawili au watatu.
 
Back
Top Bottom