MPESA kitofanya kazi hadi jumapili?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Nimepata message ya voda kuwa kuanzia saa nne usiku wa leo huduma itasitishwa hadi jumapili...!
 
Hapana Mkuu. Ilikuwa ni Jumamosi saa 4 Usiku mpaka Jumapili saa 4 asubuhi. Meseji ilichelewa kufika tu.
 
Je, hii ni "habari ya Kisiasa?" Nafikiri ni "habari mchanganyiko"! Ingekuwa vema Mods wakaipeleka huko. Pamoja na yote, asante kwa taarifa!
 
Hapana Mkuu. Ilikuwa ni Jumamosi saa 4 Usiku mpaka Jumapili saa 4 asubuhi. Meseji ilichelewa kufika tu.
Aisee mbona imechelewa kuingia?

Nimepakua mzigo wote uliokuweko kwenye line
 
Ni huduma ya M-pesa kwenda mitandao mingine tu ndio imesitishwa, voda kwenda voda huduma itakuwepo kama kawaida. Kuanzia leo usiku hadi jumapili saa saba mchana. Source mimi mwenyewe nimepokea ujumbe wao.
 
Mimi nimeelewa kuwa kama una mzigo uhamishie mitandao mingine
 
Wanataka tutoefedha zetu fastafasta watengeneze faida ya mwishomwisho bila kodi!
 
Back
Top Bottom