KivipPole dada hata mimi mme wangu alishawahi kuwa na hilo tatizo miaka miwili iliyopita na baada ya kuhangaika mahospitali mengi huku kila doctor akiwa na sugstion zake wengine wakisema ni upungufu wa nguvu za kiume na wengine walishauri atulize akili kwani ana tatizo la kisaikolojia
But hali ikawa ileile but alikuja kupona baada ya kutumia dawa ya mafuta ya mitishamba alitumiwa na mtu , na hadi sasa yuko vizuri. Hapo cha msingi usije ukamuacha huyo ndie mme wako na huo ni mtihani uliopewa
Kama utahitaji ushauri zaidi nipm