Mpenzi wangu na tatizo la uume kulala mapema na kutosimamisha kabisa, nini tatizo?

Kama unampenda bac shirikianeni mkamuone daktari ili mjue tatizo nn??. Kwasababu ck hiz mwanaume mashine
 
Tatizo la wanaume wengi ni njaa tu hakuna kingine. Ninaposema njaa si njaa ya kujaza tu tumbo, kuna vyakula anavyotakiwa ale mwanaume na kuna nyakati hatakiwi mwanaume asile. Mfano. Asubuhi ule chakula bora, protein ya kutosha mayai mawili chapati mbili + juice, ndizi mbivu....chapati ambayo haikupikwa kwa mafuta ya alizeti, haya mafuta hupunguza homon za kiume... Mchana kula kawaida na matunda ya kutosha. Jioni hakikisha huli chakula chenye wanga mwingi. Kula matunda tu hasa machungwa, ndizi, mbivu, matikiti (kula na mbegu zake)... Ukiweza kula machungwa kumi kwa siku ndani ya siku kumi na nne utakuwa na nguvu za kiume nyingi sana huenda mwanamke moja akashindwa kukukidhi.
 
HUYO AMEATHIRIWA NA MADHARA YA MASTERBATION,KWANZA AIACHE HIYO KITU THEN AANZE MAZOEZ YA KUREJESHA NGUVU/UIMARA WA MISULI INAYOSIMAMISHA UUME@KEGEL EXERCISE.PM KWA MAELEZO ZAID
 
Nunua glucose awe analamba kabla ya game! Pia aanzishe doze ya kula asali mbichi achanganye na mdalasini kijiko kidogo cha sukari mara 3 per day kwa mfululizo week 3 but matokeo ataanza kuyaona soon after 6 days.

But kwa glucose ni kama busta, muda wote inafanya kazi bila madhara. Enjoy
 
Majibu kama haya kwa mwanamke mwenye utu kama huyu sio vizuri hata kidogo.
You are too cold and heartless!
Angekuwa na Busara asingeandika ujinga wake hapa uanjani. Pia mimi ni me why aseme me ndiye mapungifu wakati dalili zote zinaonyesha yy ndiye mwene tatizo?
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom