Mpenzi wangu na tatizo la uume kulala mapema na kutosimamisha kabisa, nini tatizo?

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Kama title inavyojieleza hapo ni kuwa nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga nae ndoa muda sio mrefu lakini nimekuja kugundua kuwa ana tatizo la uume kuwa legevu na muda mwingine anashindwa kabisa kusex hadi inafika kipindi najiskia vibaya sana hata yeye pia anakosa amani.

Lakini licha ya yote hayo kutokea nimekuwa nikimtia moyo kuwa ajiamini tu huenda anakuwa na uwoga labda lakini sina uhakika na hilo na mimi kumuacha siwezi sababu ya mapenzi ya kweli niliyonayo juu yake.

Msaada tafadhali.
 
Kama title inavyojieleza hapo ni kuwa nna mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga nae ndoa mda sio mrefu lakini nimekuja kugundua kuwa ana tatizo la uume kuwa legevu na mda mwingine anashindwa kabisa kusex hadi inafika kipindi najiskia vibaya sana hata yeye pia anakosa amani

Lakini licha ya yote hayo kutokea nimekuwa nikimtia moyo kuwa ajiamini tu huenda anakuwa na uwoga labda lakini sina uhakika na hilo na mm kumuacha siwezi sababu ya mapenzi ya kweli nliyonayo juu yake

Msaada tafadhali
Your k is too cold
 
Pole sana Mtotomtamu,,aliwahi kukueleza chanzo cha tatizo lake? Kama kipo tuambie utapata ushauri wa kumsaidia,,Usije ukafa na utam wako.
 
Uke wako wa Baridi sana kwa hiyo hakuna jotojoto kwenye uke wako ndiyo tatizo na wewe kwa kuwa unajijua una mapungufu unaona aibu kwenda kwa mwingine kwa kuwa atakupiga chini pia
 
mwambie apige tizi...inaewezekana ni mzito sana....pia ale natural....mboga za majani kwa wingi....maji kwa wingi....
 
Mwambie ajiunge na JF ..alafu anifate PM ...nitamsaidia ... Nmeshasaidia wengi humu .na wananipa majibu mazuri.

Ukishindwa ,,kasome Uzi Wangu niliuandikaga ..

*FANYA UUME WAKO UWE NA NGUVU NAHAMU YA KURUDIA RUDIA TENDO*.
angekuwemo humu ningempa na tips baadhi zakukufanyia nakufanya mwenyewe ,,mpaka ungejihisi dunian upo mwenyewe !!!.

Asante
 
Kama title inavyojieleza hapo ni kuwa nna mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga nae ndoa mda sio mrefu lakini nimekuja kugundua kuwa ana tatizo la uume kuwa legevu na mda mwingine anashindwa kabisa kusex hadi inafika kipindi najiskia vibaya sana hata yeye pia anakosa amani

Lakini licha ya yote hayo kutokea nimekuwa nikimtia moyo kuwa ajiamini tu huenda anakuwa na uwoga labda lakini sina uhakika na hilo na mm kumuacha siwezi sababu ya mapenzi ya kweli nliyonayo juu yake

Msaada tafadhali
Mlisha sana ndizi mbivu na mchukulie juice ya tende kwa mpemba.
Anywe sana maji na zoezi angalau la kukimbia awe anafanya.
 
Kama title inavyojieleza hapo ni kuwa nna mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga nae ndoa mda sio mrefu lakini nimekuja kugundua kuwa ana tatizo la uume kuwa legevu na mda mwingine anashindwa kabisa kusex hadi inafika kipindi najiskia vibaya sana hata yeye pia anakosa amani

Lakini licha ya yote hayo kutokea nimekuwa nikimtia moyo kuwa ajiamini tu huenda anakuwa na uwoga labda lakini sina uhakika na hilo na mm kumuacha siwezi sababu ya mapenzi ya kweli nliyonayo juu yake

Msaada tafadhali
Saa nyingine kuna papachu zinatisha ile mbaya, paap genye zote zinakata.
 
Hapo lzm ujiulize tatizo ni kwwko tu au hata kwa wengine? Maana kuna wakati wanaume tunashindwa kuwa stable sabb yenu nyie mnakuwa romantic ktk game. Akienda nje ana gonga hata bao 7 kwako anshindwa kusimamisha.
 
Mmmmh... Naogopa sana....kuna wengine dawa yao paka wapigwe stata, chamsingi angekeeleza chanzo cha tatizo ingekuwa rahis kumsaidia
 
Je mazingira yako yakoje? Yawezekana mazingira yako sio masafi, either K yako inatoa cabon dioxide kwa hiyo huyo jamaa hapendi kabisa ndio inayomsababishia jamaa asiinue tena! Ungejitathimini kwanza kbl ya kuleta uzi wako! Pole yako mdada!
 
Kwahiyo hilo tatizo umeligundua muda sio mrefu (hivi karibuni). Means kwamba mwanzo alikuwa fresh au uliamua just before marriage ushake well before use ndio ukaona hilo tatizo?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom