Mpenzi wangu kila siku aniuliza eti ntampa nini?

Usikuze sana,wanawake wanaridhika na mabo madogo,leo mletee chocolate,wine,kesho pipi,kesho kanga,kesho yake magazine,kesho yake gauni,kesho yake mtoe out,kesho yake make love to her in a different way which is sweeter,kesho yake,mpigie simu from the office mwambie unamfikiria na unampenda kuliko chochote hapa duniani,kesho yake mletee ticket mwende vacation Dubai au Seychelles,kesho yake mnunulie bikini/gistrine nzuri then cook for her,muogeshe,mlishe,mvalishe nguo,mpake mafuta,mfungulie mlango wakati wa kuingia kwenye gari,mnunulie pia gari,mnunulie perfume,mpeleke kufanya shopping france,lastly,be yourself,she has to love you for who you are and what you can give and what you can not.do not be a slave simply because you love her.
wewe unajua mshahara wangu sh ngapi? 2na watoto watoto wangapi? amepanga wapi? hivi mume wako anakufanyia hivyo?
 
Back
Top Bottom