Mpenzi wangu kila siku aniuliza eti ntampa nini?

Usikuze sana,wanawake wanaridhika na mabo madogo,leo mletee chocolate,wine,kesho pipi,kesho kanga,kesho yake magazine,kesho yake gauni,kesho yake mtoe out,kesho yake make love to her in a different way which is sweeter,kesho yake,mpigie simu from the office mwambie unamfikiria na unampenda kuliko chochote hapa duniani,kesho yake mletee ticket mwende vacation Dubai au Seychelles,kesho yake mnunulie bikini/gistrine nzuri then cook for her,muogeshe,mlishe,mvalishe nguo,mpake mafuta,mfungulie mlango wakati wa kuingia kwenye gari,mnunulie pia gari,mnunulie perfume,mpeleke kufanya shopping france,lastly,be yourself,she has to love you for who you are and what you can give and what you can not.do not be a slave simply because you love her.
unafanya yote haya halafu unagundua kuwa unapigiwa
 
Mhh Mbona haya nimaisha ya kuigiza kama kwenye Bongo/Nigeria movies????????

Utajibeba ndugu,nani kakuambia siku hizi tunaishi tofauti na tunachokiona kwenye movie na tamthilia zetu? wigi la mchina nililovaa nionekane kama JLO/Beyonce,mwili wangu nimeongeza hips nionekane kama Ini Edo wa Nigeria unataka nisiige wanachofanya???Very simple Rule,kuna saizi yako huwezi achia ngazi wanaoweza wapo na wanapatikana babu wanatoa kila nachohitaji tena bila hata kutaja,wizi mtupu siku hizi....LOL
 
unafanya yote haya halafu unagundua kuwa unapigiwa

Haina guarantee kwamba ukifanya hayo ndo macho yasiyo na pazia hayataona au kutamani???kuna watu wana kila kitu lakini wao ni binadamu,hukosea na wanastahili kusamehewa mara saba sabini............LOL
 
Namshukuru Mungu sina tena nafasi ya kuifanyia kazi hii list.... Sijui kama kuna mwanamume hata mmoja duniani anayweza ku-attempt na asiishie kuweka mpira kwapani..

Hii list imekaa kama suicide bomb!

Kila la heri wajukuu zangu...tutaonana na wale watakaobaki salama!

Babu DC!

Hallo Hallo oooooooooooooooooooo,jamani mbona hapo sijamaliza ku-list?hii ndo njia nyembamba ina watu wachache wanaoweza........:wink2:
 
Utajibeba ndugu,nani kakuambia siku hizi tunaishi tofauti na tunachokiona kwenye movie na tamthilia zetu? wigi la mchina nililovaa nionekane kama JLO/Beyonce,mwili wangu nimeongeza hips nionekane kama Ini Edo wa Nigeria unataka nisiige wanachofanya???Very simple Rule,kuna saizi yako huwezi achia ngazi wanaoweza wapo na wanapatikana babu wanatoa kila nachohitaji tena bila hata kutaja,wizi mtupu siku hizi....LOL

Duh kasheshe.
 
Kweli ila nafurahi kwamba mimi si mmoja wao ingawa napumzika na muziki wangu wa vidole juu hapa Chuda!

Bado nawakatia kila la heri watakaotaka kuipita hiyo njia!
 
Ukimzungusha sana, atakukimbia alafu utaona wivu. bora resolve the matter mapema before you cry with one eye!
 
Utajibeba ndugu,nani kakuambia siku hizi tunaishi tofauti na tunachokiona kwenye movie na tamthilia zetu? wigi la mchina nililovaa nionekane kama JLO/Beyonce,mwili wangu nimeongeza hips nionekane kama Ini Edo wa Nigeria unataka nisiige wanachofanya???Very simple Rule,kuna saizi yako huwezi achia ngazi wanaoweza wapo na wanapatikana babu wanatoa kila nachohitaji tena bila hata kutaja,wizi mtupu siku hizi....LOL

Ukweli na uwazi.........tupashe zaidi.
 
Bila woga niulize tu.
Ukijua nyeti yangu na mpenzi wangu utamjua. Lol.

mmmhh hichi kitendawili ni kigumu sana..
mie nilidhani weye ni he...
na mpeznio ni she..
lakini jinsi ninavyosome poster nadhani mpenzio ni he na weye nihe..
correct me if im wrong thanx..
AD
 
Yeah! You are wrongful.
 
Namshukuru Mungu sina tena nafasi ya kuifanyia kazi hii list.... Sijui kama kuna mwanamume hata mmoja duniani anayweza ku-attempt na asiishie kuweka mpira kwapani..

Hii list imekaa kama suicide bomb!

Kila la heri wajukuu zangu...tutaonana na wale watakaobaki salama!

Babu DC!

ha ha ha ha!
Usiogope babu. Hayo ni mambo madogo madogo ya kutufanyia..lol!
 
PM wako nlimuuliza about your gender...hajanambia!

Waonaje hapa unambie aina ya n.y.e.t* yako?

mmmhhhh naona mie na wewe tunazungusha tangu siku zile..
hahahah lol
haya mie nimechoka kukimbia kwenye meza ya mviringo hahah lol
mimi ni dada...
 
Back
Top Bottom