Mpenzi wangu kila akija nyumbani kwangu kunitembelea ananukia malimao

imenibidi nicheke tu.isije ikawa anajisugulia na huko chini.maana anapenda sana malimao.si awe anapiga msuaki jamani baada ya kunywa hizo juisi za malimao
 
ha ha ha ahaha ahahaaaaaaaa!!dah,nackia maji ya malimao yanasaidia kutaitisha K!!!Madem wengi wenye K zilizolegea inasemekana wanapenda kutumia as a safe way ya kurejuvinate K zao, kitu kinakuwa tait balaa!dah, huyo noma aiseee,hakuna kisicho na madhara, mwambie apunguze sasa, amezidi ataharibu buree!!
 
Mkuu usiwe na wasi...ni kawaida.. Huyo amekuungia kabisa tayari kwa kula! Wa kwangu akija kuna siku ananukia kitunguu swaumu,mango piko,mdalasini,pilipili mbuzi au tangawizi... Kazi kwako kula tuuu.... Tangopori akiamka tu atadai picha mda is mrefu
 
Dawa yake mbona ndogo!
Akija na malimau yake, wewe jipake dawa ya meno (colgate or whitedent!) kwenye dushe, afu mchomekee!
 
Mjumbe hauwawi...

Mpenzi wangu kila akija nyumbani kwangu kunitembelea ananukia malimao.

Nikimuuliza, anasema "anapenda sana kunywa juisi ya malimao".

Nimemuuliza, ina maana akija kwangu tu ndiyo ananukia malimao?

Amenuna na kunijibu "jamani bebiii"...

Je, wapenzi wenu hunukia malimao?

Huyo atakuwa anatengeneza bikra digitali
 
Ha ha ha ha wangu wa zamani alikua ananukia dawa za chooni dah akanishinda

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Huenda ni perfume yenye harufi hiyo au sabuni au anajisugulia usoni,kawaida sana.Na unasemaje kila akija kwako?? May be dats how she always smell
 
Huenda ni perfume yenye harufu hiyo au sabuni au anajisugulia usoni,kawaida sana.Na unasemaje kila akija kwako?? May be dats how she always smell
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom