kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,147
- 2,745
kuna binti mmoja nilikua namfukuzia,sasa kaingia kingi tayari,mimi nikaona nisipoteze muda mwingi na mapenzi ya tamthilia ya sijui umekula,umeota nini,kupelekeana maua na ujinga mwingine unaofanana na huo,me nikajikita zaidi kwenye malengo ya kumtongoza ambayo ni kumgegeda tu,cha kushangaza jana nikaomba game akaniambia niache kuwa mroho wa papuchi,kama kunipa atanipa taratibu tu kadri siku zinavyoenda.
nifanyeje wakuu?
nifanyeje wakuu?