TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 4,975
- 15,313
Kuna baadhi ya watu hua mnachukulia mambo kirahisi sana.
"Achana nae tafuta mwingine..!"
Yaani as if mke mwenye vigezo vinavyofaa kuolewa hua anapatikana kirahisi tu hapo nje ukitoka unamkuta kasimama anakusubiri! We jamaa kashasema huyu wamefikia kuoana "baada ya safari ndefu ya mahusiano" sasa iweje waachane tu kirejareja? Halafu mpaka aje apate mtu mwingine watakaeendana ni lini na jamaa anataka kuoa SASA?
"Kwanini haya mambo hawakujadili mwanzo kabisa"
Kwani watu hua mnaanzishaje mahusiano? Hua unakutana na mwanamke na kumuambia " We dada, kuja... mi nataka nikuoe.. we ni dini gani?" Mbona watu mnaongea as if hamjawahi kua kwenye mahusiano? Ivi unapoanzisha mahusiano na mtu, hua unajua immediately kwamba mtakuja kuoana?
Olu in olu, we mleta mada kama huyu dada umekua nae kwenye mahusiano muda wote huo mpaka mmefikia kutaka kuoana, na kila mmoja alikua anaendelea na dini yake, na hujaona tatizo lingine kwake mi nadhani dini ni kitu kidogo sana. Aftaroo dini hizi zimekuja zimetukuta sisi so zisiwe kigezo eti cha kututenganisha. Oaneni kila mtu abaki na imani yake. Kwanza wote ni wakristo nashangaa mnahangaika nini. Kumbuka unaemuoa ni mtu na sio dini.
Ila katika maeneo wazungu walitukamata akili ni kwenye imani aisee.