Mpenzi wangu hapati raha ya mapenzi kabisa, naombeni msaada wa contact za geno au wataalam wa matati

Kijana ebu jaribu kutazama/kufikilia nje ya box....yale ambayo wewe unaona kinyaa kwenye mapenzi unaweza ukakuta ndio yeye anayapenda.....Jaribu kumwandaa kisaikolojia...wanawake wote regardless age na kipato uwa wanaishi kwa hisia.....tafuta muda mwingi wa kumwandaa usikimbilie tu....kale kamchezo.Mwanaume hasifiwi kula tu.......SMILE....HII SI KWELI....(mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at all....)Inategemeana na mwaume unayekutana naye....Nina rafiki yangu mmoja alizaa na Malaya mmoja(anayejiuza kabisa).......lakini alikolea mavitu ya mshikaji mpaka akawa hataki pesa tena.........unajua kwanini?
alimfeel na kumpenda yaani moyo ulikuwa relaxed sijui hata nikuelezeje ndo matokeo hayo
 
hapa tunatoa ushauri mkuu,na siwezi kumpa mtu ushauri ambao sina uhakika nao hayo ni maoni yangu.na wewe mpe ya kwako ndo maana ya jamii forums sio kuanza kunidandia kifuani babu wee

lol....hahahahahahahahahaa......hebu ni subscribe post zako zote kuanzia sasa, khaaaa?
mwambao raha raha tu!
 
mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at allmwambie awe anavuta picha ya switheart wake aasume ndo wewekwanza ungejua unavomkera during process ? yaani mwanamke kulala na mtu humpendi ni mateso acha kabisa


nimeamini akili zenu kweli ni 0.0000000000000000000000000001 inamana hadi unaamua jamaa aingize mavituuuuzi unakuwa humpendi sasa unampa wa nini si ukatae kwani kuna mtu atakufunga kamba akufanye?
 
nimeamini akili zenu kweli ni 0.0000000000000000000000000001 inamana hadi unaamua jamaa aingize mavituuuuzi unakuwa humpendi sasa unampa wa nini si ukatae kwani kuna mtu atakufunga kamba akufanye?
wewe akili yako ndo negative kabisa kwani ukisex na mwanamke ndo guarantee kuwa anakupenda?watu huwa wanafanya kwa interest tofauti eg pesa kazi nk
 
si ni kweli yaani angejua anavomkera ? wewe acha tu kulala na limtu hulitaki bana full mateso
Smile !!!! Yaani hulitaki halafu willingly unalivulia nguo lishughulike , hapo hapo linakukera i - mmmm ni bonge la Contradiction :lol::lol:
 
Wajameni ninae mpenzi wangu wa kike na nipo nae kwa takribani miaka miwili sasa na nategemea kufunga nae ndoa mwakani ila siku zote amekuwa akilalamika kwamba hapati raha ya mapenzi kabisa. Na nimejaribu kweli kumchunguza na nimegundua kweli kwamba hisia zake zipo mbali sana za mapenzi na hata tuki do namuona kabisa kwamba ananiridhisha tu ila hapati raha yoyote. Nampenda sana ila ninataka nimsaidie kupata ufumbuzi wa hili tatizo kwamba wataalum wa haya matatizo wanapatikana wapi na yeyote mwenye contact zao naomba msaada aokoe jahazi wadau.

Asanteni sana.

Yawezekana yeye hakupendi na ukimuoa ndo ataonyesha makucha yake stuka
 
Smile !!!! Yaani hulityaki halafu unalivulia nguo lishughulike , hapo hapo hulipendi - ni bonge la Contradiction :lol::lol:
wanawake wengi wanafanya kutokana na interest tofauti eg money au kazi au msaada flani toka kwa mwanaume hapo upendo unatoka wapi? tafakari ndugu
 
wewe akili yako ndo negative kabisa kwani ukisex na mwanamke ndo guarantee kuwa anakupenda?watu huwa wanafanya kwa interest tofauti eg pesa kazi nk

Hapa TAKUKURU inabidi walifanyia kazi sana hili utapeli wa wadada umefikia kubaya
 
inabidi uzidishe mautundu na siku ukimpatia akafika ndo atakapoanza kukupenda na kukuheshim, ukishindwa kummudu ujue hata heshima haitakuwepo....................., siku akimpata mjuaji wa kumfikisha hata hilo wazo la ndoa litamtoka kabisaaaa
 
hapa tunatoa ushauri mkuu,na siwezi kumpa mtu ushauri ambao sina uhakika nao hayo ni maoni yangu.na wewe mpe ya kwako ndo maana ya jamii forums sio kuanza kunidandia kifuani babu wee

Sikudandii kifuani Mamy,
ushauri wako mzuri japokuwa ni wa kukatisha tamaa kabisaaaaaaaaaaaaa
 
hapo tatizo ni moja hujui kutusua vema hizo hisia hata kama ziko nyuma ya jua inategemea unamuandaaje zitakuja tu anza kumuandaa hata kabla hamjakutana nikimaanisha kwa mawasiliano kumueleza ulivo na hamu nae,na uzuri wake,mshikeshike mpaka atake mwenyewe gemu kwa njia hii lazima atafurahia tu,ukishindwa ntakuelekeza kwa vitendo
 
smile kumbe kwa sisi wanaume tunaweza kujisifu tunaweza kumbe ni sawa na mtu kula ugali kwa picha ya samaki
 
Pole sana ndugu,
Kama umeweza kukaa naye miaka hiyo basi ni wazi kuwa anakupenda na kama angekuwa hakupendi for that number of years angeshakuacha kitambo. Hapo kuna tatizo la msingi, kwanza inawezekana na jaribu kuchunguza kama amemekeketwa au lah, pili kama hajakeketwa inawezekana akawa na tatizo la upungufu wa nguvu za kike ambalo limekuwa kubwa na linaongezeka kwa kasi siku na wengi hawafahamu matokeo yake siku zote wanalaumiwa wanaume tu kitu ambacho si kweli wakati mwingine. Ila kwa ushauri zaidi muende hospitali ili kujua tatizo ni nini kwanza na matibabu yake ni yapi.
 
1.kuna uwezekano mkubwa hakupendi.
2.kuna uwezekano ana jamaa mwingine anayemfeel sana.
3.inawezekana kuna x wake ndo kila kitu.
4.kuna uwezekano anatatizo la kisaikolojia linalotokana na historia yake alivyoanza mapenzi ,e.g labda alibakwa.
5.inawezekana hujui kumtayarisha kiakili na kimwili wakati wa mavitu au hajawahi kurelax kabisa.
conclussion;kaa naye chini ongea naye na awe mkweli utajua tatizo ni nn na km mambo ni hayo hayo basi hapo utaoa matatizo.
 
mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at allmwambie awe anavuta picha ya switheart wake aasume ndo wewekwanza ungejua unavomkera during process ? yaani mwanamke kulala na mtu humpendi ni mateso acha kabisa

mmmh nawe unamambo mwenzio anaomba ushauri anaumia wewe unagonga msumari wa moto....
 
mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at allmwambie awe anavuta picha ya switheart wake aasume ndo wewekwanza ungejua unavomkera during process ? yaani mwanamke kulala na mtu humpendi ni mateso acha kabisa


mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at all (haya ni mawazo potofu ya mtu asiye na uwezo wa kufikiri, hakuna mtu dunian ambaye anampenda mtu from no where, mapenzi yanaanza kwa kumjenga mtu taratibu

kaka yangu usikatishwe tamaa na maoni ya namna hii....tatizo hilo lipo na huwa linawapata wanawake wengi, tatizo kubwa ni psychological effects kwa mwanamke...

hii namaanisha mwanamke ameshajijengea hisia za kutopata raha anapofanya mapenzi which means tayari ameweka akilini mwake kuwa hatopata raha anapofanya mapenzi.

mjenge mpenzi wako kifikra na jaribu kutofanya nae mapenzi kwa muda mrefu kidogo labda miezi 3 lakini jaribu kuwa unakutananae mara kwa mara na kila ukikutana nae jaribu kuwa unazungumza nae kuhusu raha ya kufanya mapenzi.

pia unaweza fanya lifuatalo ' kila siku umshauri awe anakula ndizi kisha mwambie hiyo nidawa ulioambiwa atumie kwa muda wa miezi 2 na atapokuja fanya mapenzi atasikia raha, sasa kila mara uwe unamwambia 'natamani ifike siku hiyo nadhani utajisikia raha sana' tayari hapa nae ataanza kuondoa fikra za maumivu na kuweka fikra za kupata raha siku atapofanya mpenzi''

hii ni njia nzuri sana but kwa maelezo unaweza nitumia PM nikupe ushauri zaidi


mwambie awe anavuta picha ya switheart wake aasume ndo wewe (
hakuna logic hapa ila nikuzidi kumjengea fikra za kuzani boyfriend wake wa mwanzo ni bora kuliko wewe, hutakiwi fanya hivi kaka, unatakiwa kumjenga kifikra akuwaze wewe na si mwingine)
kwanza ungejua unavomkera during process (kama mtaalamu no proof on this hii ni fikra ya mtu binafsi haina maana yoyote)


 
nimeamini akili zenu kweli ni 0.0000000000000000000000000001 inamana hadi unaamua jamaa aingize mavituuuuzi unakuwa humpendi sasa unampa wa nini si ukatae kwani kuna mtu atakufunga kamba akufanye?

We kama ni mwanaume baso pole sana.Wanawake na wanaume kwenye mambo ya bedroom ni tofauti sana.Kumbuka nyie kifaa chenu lazima kihamasike ili shughuli ikamilike.Siye akha! Unaweza ingizwa miaka na kumbe wala humfeel hata chembe!
 
Back
Top Bottom