Mpenzi wangu hapati raha ya mapenzi kabisa, naombeni msaada wa contact za geno au wataalam wa matati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi wangu hapati raha ya mapenzi kabisa, naombeni msaada wa contact za geno au wataalam wa matati

Discussion in 'JF Doctor' started by Yusufu, Nov 22, 2011.

 1. Y

  Yusufu Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wajameni ninae mpenzi wangu wa kike na nipo nae kwa takribani miaka miwili sasa na nategemea kufunga nae ndoa mwakani ila siku zote amekuwa akilalamika kwamba hapati raha ya mapenzi kabisa.

  Na nimejaribu kweli kumchunguza na nimegundua kweli kwamba hisia zake zipo mbali sana za mapenzi na hata tuki do namuona kabisa kwamba ananiridhisha tu ila hapati raha yoyote.

  Nampenda sana ila ninataka nimsaidie kupata ufumbuzi wa hili tatizo kwamba wataalum wa haya matatizo wanapatikana wapi na yeyote mwenye contact zao naomba msaada aokoe jahazi wadau.

  Asanteni sana.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at allmwambie awe anavuta picha ya switheart wake aasume ndo wewekwanza ungejua unavomkera during process ? yaani mwanamke kulala na mtu humpendi ni mateso acha kabisa
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Shosti hapo ushaua.....lol
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  We Smile taratibu bana
  We unaona jamaa hapo anasema ana mpango wa kumuoa kabisa na wewe unamkatisha tamaa bana
  Wacha zako hizo
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  si ni kweli yaani angejua anavomkera ? wewe acha tu kulala na limtu hulitaki bana full mateso
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ....lol....! aisee huu ushauri utavunja ndoa ya mwenzako bana...hahahah!

  kaka Yussuf, tatizo ni lenu nyote wawili....gyno hahitajiki hapo.
  Jitahidi utundu wa kumshirikisha mchumba'ko ajifungue moyo wake kwako anavyotaka umridhishe,
  kwani ni yeye pekee anayeujua mwili wake na mwili wako mnavyoweza 'connect the dots...'

  pole kaka.
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jaribu kumuanda vizuri, mulize nini anafurahia kwenye mapenzi zaidi ukiuliza sana humu watakupa number zao utajuta manake ma doctor humu JF wakumwaga Mashallah.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  si ukweli au?
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mkuu afadhali umetoa ushauri wa maana
  Huyu Smile anataka kabisa kuvunja mahusiano ya watu
  Ni wao wawili kuconnect hisia zao wakati wanafanya mambo yao maana inaelekea wanafanya hayo mambo wakiwa na hisia za mbali kitu kinachowafanya washindwe kuona raha au mdada wa watu ashindwe kuona raha ya hiyo kitu
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280

  taratibu bana
  Duh ukali hivyo utamuondoa dada wa watu au kaka wa watu atakata tamaa ataona hapendwi bure wakati hapo kwake ndo amefika aise
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  huyo mdada hamfeel so kumuandaa nayo ni ngumu maana atamshikashika vipi? si atapigwa ngumi bure jamani?
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  amefika sipo hapo abake tuuu real gemu never hapo
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Unajua mapenzi hayapandi au hayakui kama maji yanavyochemka wakati umeweka birika kwenye umeme.

  Ni kitu cha taratibu sana na with time naamini ipo siku huyo dada atampenda jamaa. Naamini wajaribu kukaa na kuangalia tofauti zao na nini wafanye na naamini maongezi baina yao ni mazuri sana kujaribu kutengeneza mazingira ya wao kuwa kweli wanapendana.
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  dahhhh,....smile bana hebu acha kumkatisha tamaa mwenzio bana...
  mwenzako anampenda huyo binti, wewe unaongelea msiba...duhh!

  ati kaka Yussuf? ati shemeji wamuonaje? ...naye akupenda au wamburuza tu weye?
  haifai kujiingiza kwenye ndoa ya mashaka kaka...mtaja 'umizana' huko mbele ya safari!
   
 15. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana huyu mtu unamjua,
  Inawezekana na Bint anayetakakumuoa unamjua,
  Inawezekana una uhakika na unachokiandika.
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kwenye red unampoteza jamaa.
   
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280

  Duh Smile taratibu bana
  Hufai kabisa wewe kuwa mshauri
   
 18. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kijana ebu jaribu kutazama/kufikilia nje ya box....yale ambayo wewe unaona kinyaa kwenye mapenzi unaweza ukakuta ndio yeye anayapenda.....Jaribu kumwandaa kisaikolojia...wanawake wote regardless age na kipato uwa wanaishi kwa hisia.....tafuta muda mwingi wa kumwandaa usikimbilie tu....kale kamchezo.
  Mwanaume hasifiwi kula tu.......

  SMILE....
  HII SI KWELI....(mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at all....)
  Inategemeana na mwaume unayekutana naye....
  Nina rafiki yangu mmoja alizaa na Malaya mmoja(anayejiuza kabisa).......lakini alikolea mavitu ya mshikaji mpaka akawa hataki pesa tena.........unajua kwanini?
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,184
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Umeona eehhh
  Ushauri haufai kabisa huo
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapa tunatoa ushauri mkuu,na siwezi kumpa mtu ushauri ambao sina uhakika nao hayo ni maoni yangu.na wewe mpe ya kwako ndo maana ya jamii forums sio kuanza kunidandia kifuani babu wee
   
Loading...