joshely
Member
- Nov 25, 2017
- 54
- 62
Habari za weekend wakuu?
Tumaini langu muwazima wote kwa wagonjwa ugua pole,
Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa kejeri badala ya ushauri. Yes. Sihitaji kuwachosha wacha niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni 20's years niko na rafiki wa kiume miaka 7 minimum ndio yawe mapenzi ya kuanzia secondary form one B.
Kwa sasa niko chuo fulani (jina kapuni)hapa Dar niko na chumba changu binafsi yaani nimepanga. Pia na yeye yupo chuo kingine( jina kapuni )lakini yeye yupo hostel za chuo na sasa toka tumefika hapa Dar kwa masomo amekuwa akinitembelea kila weekend anakuja tunashinda wote hapa nyumbani kwangu.
Basi tukiyaacha hayo dhamira kubwa ya huu uzi ni kupata maoni yenu kwamba
huyu boyfriend amekuwa hanipi huduma ipasavyo kwenye.
01.MAPENZI
Hili ndio kubwa zaidi yaani kabadilika kweli imekuwa hawezi kurudia tendo, yaani anakuwa na hamu kweli kama hatujakutana sasa sku tukikutana anaishia bao moja tu hawezi kabisa kudinda tena ananiacha na hamu kibao.
Huyu bwana hakuwa hivi kipindi tunaanza mahusiano yetu yaani alikuwa akipanda kifua huyo hashuki zaidi ya dakika 60. Tumejaribu kutafuta shuluhu lakini zimegonga mwamba, mara pweza wapi.Naamini wale watu wazima wameelewa hapa.
02.MATUMIZI.
Amekuwa bahili kweli yaani anakuja weekend anashinda kwangu akiondoka haniachi hata pesa ya matumizi binafsi zaidi ya zawadi anazoniletea wakati uhusiano wetu haukua hivyo hapo mwanzo.