Mpenzi wangu hanihudumii wala haniridhishi kimapenzi

Habari za weekend wakuu?

Tumaini langu muwazima wote kwa wagonjwa ugua pole,

Nimekuwa msomaji wa nyuzi mbalimbali hapa JF hususani MMU nimeona wengi wakipata ushauri makini ingawa wengi hutoa kejeri badala ya ushauri. Yes. Sihitaji kuwachosha wacha niende moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni 20's years niko na rafiki wa kiume miaka 7 minimum ndio yawe mapenzi ya kuanzia secondary form one B.

Kwa sasa niko chuo fulani (jina kapuni)hapa Dar niko na chumba changu binafsi yaani nimepanga. Pia na yeye yupo chuo kingine( jina kapuni )lakini yeye yupo hostel za chuo na sasa toka tumefika hapa Dar kwa masomo amekuwa akinitembelea kila weekend anakuja tunashinda wote hapa nyumbani kwangu.

Basi tukiyaacha hayo dhamira kubwa ya huu uzi ni kupata maoni yenu kwamba
huyu boyfriend amekuwa hanipi huduma ipasavyo kwenye.

01.MAPENZI
Hili ndio kubwa zaidi yaani kabadilika kweli imekuwa hawezi kurudia tendo, yaani anakuwa na hamu kweli kama hatujakutana sasa sku tukikutana anaishia bao moja tu hawezi kabisa kudinda tena ananiacha na hamu kibao.

Huyu bwana hakuwa hivi kipindi tunaanza mahusiano yetu yaani alikuwa akipanda kifua huyo hashuki zaidi ya dakika 60. Tumejaribu kutafuta shuluhu lakini zimegonga mwamba, mara pweza wapi.Naamini wale watu wazima wameelewa hapa.

02.MATUMIZI.
Amekuwa bahili kweli yaani anakuja weekend anashinda kwangu akiondoka haniachi hata pesa ya matumizi binafsi zaidi ya zawadi anazoniletea wakati uhusiano wetu haukua hivyo hapo mwanzo.
ni pm dada nikupe dawa ya kumpa mumeo kama bado una mapenzi naye
 
Sasa mwanafunzi hela anatoa wapi ??hayo mapenzi atakuridhishaje mfukoni hana hela ??njoo pm tuongee mrembo.
 
Wanawake wengi mnapenda kuhudumiwa sana, eti pesa ya matumizi , kwani baba ako huyo? Au humpendi just unauza K tu??
Kama unauza mwambie ukwell!
Yaani nyie wadada pusua kichwa
Kwani huwezi kujitegemea?
Ndo maana kuonewa wanawake Ktk Mahusiano hakutaisha mpk mtakapojitambua
Mtafirwa, kupigwa na kufanyiwa ukatili wa kila namna since mwanaume anatake care kila kitu.
Kutoridhishwa na mapenzi imesababishwa na kutopewa hela ya matumizi over
 
Wewe ni muumini wa wanaume kulelewa anavyoenda kushinda kwa mwanamke siku nzima na hana hata mia anategemea anakula nini??
Never ever.....kwanza namshangaa huyo Bwana Mdogo inakuwaje anaenda kushinda kwa mwanamke? Kuna siku atakutana na jamaa jingine limewahi pale. Nilichoshangaa ni kauli kwamba anamtumia na hamwachii hata mia wakati kimsingi kama ni cash anapaswa kumpa any time kulingana na mahitaji
 
Back
Top Bottom