Karucee JF-Expert Member Mar 11, 2012 18,146 34,190 May 15, 2021 #21 Nahisi wewe ulimpenda... Ila yeye hakuwa na time na wewe na ndio maana mwaka umekatika hata chupi hujachungulia 🤣🤣🤣🤣🤣 Afu ni mpenzi wako kwa mantiki ipi?
Nahisi wewe ulimpenda... Ila yeye hakuwa na time na wewe na ndio maana mwaka umekatika hata chupi hujachungulia 🤣🤣🤣🤣🤣 Afu ni mpenzi wako kwa mantiki ipi?
Mr Devil JF-Expert Member Jul 7, 2019 10,094 21,695 May 16, 2021 #23 Kwaiyo wewe unavutia..unatokea mkoa gani vile
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,565 188,766 May 16, 2021 #24 Nyie ndio mnafanya bangi ionenake haramu.