Mkuu wangu hii kitu ilinitokea acha tu,kuna uzi nilianzisha humu,tatizo unajuwa na mimi nilikuwa hivyo hivyo nilimpenda sana wangu akawa ananiendesha kama mtoto mdogo,unajuwa nini cha kufanya,kata mawasiliano na kama akikucall ongea in short hamna haya ya kujielezea anythin,vile vile tafuta msichana mwingine mzuri kumzidi utaona mwenyewe,now hawa watu wanaitwa wanawake hawanisumbui akili,ukimpenda mwanamke usimuonyeshe kwa 100% ndio inakuwa vizuri zaidi.....la sivyo atakuendesha sana na utajuta....
Kuwa mpole kaka na mpotezeee tu najuwa ni ngumu ila ndio hivyo jitahidi tu utaweza najuwa...
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Naona hata usingizi huupati kila kitu unaona kibaya,piga moyo konde na mtoe kwenye mawazo yako chukua chombo kikali zaidi yake,afadhali yako wewe ila me nilihudumia kila kitu na kumpangishia nyumba nikapangisha ila ndio akaja kuleta visa vya ajabu ajabu na vituko vingi sana iliniuma sana sasa wewe ni rahisi kumfuta kwenye akili yako. Tatizo huko vyuoni wanadanganyana sana ndio problem kubwa iliyopo hapo na wanamshauri vibaya
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
pole sana bro!..wana wake bwana!!...yeye alidai ananipenda sana, na kweli alionyesha alinipenda sana' tatzo lili ibuka alvyo anza fld pale bma ya afya tmk..i wish ningekuwa na moyo mgumu kama wanaume wengne, kwangu umekuwa mtihan mgumu sana'
Najuwa ni mtihani mkubwa sana kwako ila me nilivyopata matatizo kuna mkuu anaitwa The Boss humu ndani huyu jamaaa alinisaidia sana tena tena siwezi kumsahau maana alinipa mbinu zote na ziliweza kuwork kabisa, alinipa moyo sana tena sanaaa na niliweza kuvuka kwenye mtihani kama wako kwa ajili ya huyu jamaaa na now nimekuwa mwalimu pia mana mwanamke hanisumbui akili tena....So mkuu fata ushauri wa watu wamesemajee humu ndani.....
unamg'ang'ania kwani mlizaliwa wote?
kama ulikua hujui hayo ndio mapenzi...hebu jikaze kiume...
wewe WATU8 unajua kupenda kubaya usiseme kazaliwa nae au hujawai kupenda
pole sana ndio warembo niwengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaaa wangusure!..af ameniacha kipindi hambacho sikutegemea kabisa, iliumia sana, nilikuwa na hali ambayo sijawai kutegemea kuwa nayo sababu ya mapenz