Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana

mpotezee atakuwa ana lake jambo tafuta mwingine mwenye mapenzi ya dhati atakuwa ana mwingine!
 
Mkuu wangu hii kitu ilinitokea acha tu,kuna uzi nilianzisha humu,tatizo unajuwa na mimi nilikuwa hivyo hivyo nilimpenda sana wangu akawa ananiendesha kama mtoto mdogo,unajuwa nini cha kufanya,kata mawasiliano na kama akikucall ongea in short hamna haya ya kujielezea anythin,vile vile tafuta msichana mwingine mzuri kumzidi utaona mwenyewe,now hawa watu wanaitwa wanawake hawanisumbui akili,ukimpenda mwanamke usimuonyeshe kwa 100% ndio inakuwa vizuri zaidi.....la sivyo atakuendesha sana na utajuta....

Kuwa mpole kaka na mpotezeee tu najuwa ni ngumu ila ndio hivyo jitahidi tu utaweza najuwa...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

ahsante kaka ndo wadau wame nipa mbinu za kumsahau na kumpotezea, bila ushauri wenu bado ningekuwa nalialia kwake.
 
Naona hata usingizi huupati kila kitu unaona kibaya,piga moyo konde na mtoe kwenye mawazo yako chukua chombo kikali zaidi yake,afadhali yako wewe ila me nilihudumia kila kitu na kumpangishia nyumba nikapangisha ila ndio akaja kuleta visa vya ajabu ajabu na vituko vingi sana iliniuma sana sasa wewe ni rahisi kumfuta kwenye akili yako. Tatizo huko vyuoni wanadanganyana sana ndio problem kubwa iliyopo hapo na wanamshauri vibaya

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

pole sana bro!..wana wake bwana!!...yeye alidai ananipenda sana, na kweli alionyesha alinipenda sana' tatzo lili ibuka alvyo anza fld pale bma ya afya tmk..i wish ningekuwa na moyo mgumu kama wanaume wengne, kwangu umekuwa mtihan mgumu sana'
 
Najuwa ni mtihani mkubwa sana kwako ila me nilivyopata matatizo kuna mkuu anaitwa The Boss humu ndani huyu jamaaa alinisaidia sana tena tena siwezi kumsahau maana alinipa mbinu zote na ziliweza kuwork kabisa, alinipa moyo sana tena sanaaa na niliweza kuvuka kwenye mtihani kama wako kwa ajili ya huyu jamaaa na now nimekuwa mwalimu pia mana mwanamke hanisumbui akili tena....So mkuu fata ushauri wa watu wamesemajee humu ndani.....
 
Last edited by a moderator:
bro hapana fikiri. we wa kiume bhana, cha kufanya tema mate chini kisha ondoka bila kuangalia nyuma. pole kwa majanga
 
natamani mkuu The Boss aniongezee maujanja...
 
Last edited by a moderator:
bro hapana fikiri. we wa kiume bhana, cha kufanya tema mate chini kisha ondoka bila kuangalia nyuma. pole kwa majanga

don upo sawa mkuu! Ile kuwa mkweli ni ngumu sana kumsahau mtu uliekuwa umemzoea zaidi ya watu wote...
 
wewe WATU8 unajua kupenda kubaya usiseme kazaliwa nae au hujawai kupenda

Kupenda nishapenda na naendelea kupenda...ila mapenzi si kutesana, warembo wapo wengi na tabia nzuri ndio zao sifa.
 
Kupenda nishapenda na naendelea kupenda...ila mapenzi si kutesana, warembo wapo wengi na tabia nzuri ndio zao sifa.

ni kweli kabsa hapa nimepata fundisho, siwezi kupenda tena...never
 
wewe WATU8 unajua kupenda kubaya usiseme kazaliwa nae au hujawai kupenda

sure!..af ameniacha kipindi hambacho sikutegemea kabisa, iliumia sana, nilikuwa na hali ambayo sijawai kutegemea kuwa nayo sababu ya mapenz
 
sure!..af ameniacha kipindi hambacho sikutegemea kabisa, iliumia sana, nilikuwa na hali ambayo sijawai kutegemea kuwa nayo sababu ya mapenz
pole sana ndio warembo niwengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaaa wangu
 
Sizani kama ntapenda tena!...yani hata stm sina tena za mapenzi!
 
We mwanaume bana, hata kama hana hisia nawe kwa nini usimshukuru Mungu kwa hilo??????????????? by the way you are still young.
Huwezi kulazimisha hisia zake zije kwa sababu yako. We chapa mwendo, piga kazi, omba sana atakuja mwingine uliyepangiwa na Mungu mwenye hisia kali sana, tena atakuwa ni mwarobaini wako wa kila kitu.
AHSANTE KWA KUELEWA.
 
Kijana ondoa mawazo kaza moyo kuanza upya si ujinga so anza upya. Yaliyokukuta siyo mageni hapa duniani yametukuta wengi hasa katika hali kama ya kwako ya mapenzi ya barehe ya kwanza kama hayo yenu huwa mtu unapenda kweli yaani kama kichaa vile ukidhani hakuna mwingine mtamu kama huyo. Hali hiyo huendelea kama wote mtakuwa mmetulia, lakini hapo inavyoelekea mwenzi wako hajatulia kaonja ladha nyingine kakutana na maufundi na maudambwidambwi tofauti na ya kwako ya kujifunza sorry anza upya kijana. Ushauri wa bure utakapoanza upya angalia age difference ni muhimu huyo wa kwanza amekuzidi ni mkubwa zaidi yako miaka 21 ya msichana si 24 ya mvulana yeye ni mkubwa kwako kwenye mavituz ndo maana kakuzidi ujanja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom