Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana

Tuliza kichwa, usifanye maamuzi ya papara. Wewe unashindwa kula wakati mwenzako anajichana maanjumati kama kawaida. Cha msingi mwache kama alivyo bila mawasiliano. Asiporudi ujue si wako. Akirudi atakuwa wako daima.
 
Wewe ni mvulana tulizana utapata tu mwengine mbona wamejaa tele kama pishi la mchele wewe tu subira huvuta heri huenda anakuepushia mabalaa
 
Achana naye kabisa,mwanamke akifikia hatua hiyo tayari hata uhamishe mbingu hatoweza kuwa wa kwako anza maandalizi ya kumwacha,anza kujenga fikra kama msipokuwa pamoja utaishije,funga macho achana naye,cyo kwamba umemkosea ila kapata a man of her dreamz,atarudi kwako kama jamaa akimuumiza lakini never be a 2nd option,akirudi linga kabisaaaaa!piga chini now otherwise utaumia na mambo yako yataharibika..remember Y.O.L.O aka You Only Once,u were n't. Born 4 her.live ur dreams-never let her be an obstacle....dedication:kuachwa ni shughuli pevuuuuu,we unakonda yeyee ananenepa!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana
Pole sana ndugu yangu,jitahidi kujiweka bize utafanikiwa tu,usijipe sana hayo mawazo na jitahidi kuyapotezea. Tafuta ustaarabu wako maisha ni lazima yaendelee.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana

Acha kulia ndugu yangu, hii iwe turning point yako. Piga kazi tafuta pesa kwa bidii jenga maisha yako kwanza mwisho wa siku atajuta kwa nini kakuacha. Angalia usije pata ulcers wakati population inaonesha wanawake wako wengi kuzidi wanaume
 
Mapenzi ni hisia so kama hana hisia hamna mapenzi tena hapo tena

Nachoshukuru amekwambia wazi kabisa ili ujue mapema

pole jikaze kijana ndo uanaume huo next time usiwe na msichana mmoja kuwa na alternative coz hukumuoa huyo
bora ukae kimya kuliko kuposti ushauri wa kis**** kama huu
 
Kama kweli unataka arudi kwako acha kulialia,fanya kitu ambacho sasa unakiona kigumu,"kumpotezea",chunguza vitu ambavyo alikua anachukizwa navyo kwako jaribu kujiboresha,jitahidi kutoka na wasichana wengine wazuri na angalau akuone,usimpigie simu,mpe nafasi(zawadi) ya yeye kukumiss.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Msikilize DON acha kulialia, jivunze Kuwa na wengine, wakati wa KUCHAGUA ongeza namba. lakini usisahau kutumia KINGA. :caked:

Sent from my mini ipad 3
 
ujue kuna jamaa asha perfom zaidimyako hapo, kiasi kwamba demu anakuona wewe km mzigo tuu, umri wako bd wa kuendelea kujifunza. Usiache kula sababuya bupa dogo utavuta siku si zako mapenzi siku hizi sio dili, komaa tafuta mkwanja ukifanikiwa watakubembeleza wenyewe uwadingue. Plse usijejinyonga bure vumilia kijana
 
Kama unatumia muda mwingi kumfikiria itakuumiza na utaweza fanya mengine.Wewe ji keep busy jichanganye na wenzako,usipende kuonekana mnyonge muda wote.
Pia cse kashakupa ukweli usimtafute tena,kaa kimya endelea na mambo yako.

KAMA BINADAMU UFA USISHANGAE MAPENZI YENU KUFA KUNA SIKU UTAMSAHAU KAMA ALIKUWEPO NAMAUMIVU NDO YATAKAPO PONA
 
Bora kwanza kakuambia mapeema ili ujipange na mambo yako... wako wanaoambiwa kuwa hisia zimekata siku ya harusi/ndoa si ungejiua wewe

Jipange
 
Pole sana ila jipongeze kwa kuwa situation kwa sasa ni known mbaya inakuwa umebadilikiwa tabia alafu msichana anaogopa kujisalimisha kwako kama hakutaki tena so BORA UMIVU MOJA KUBWA KULIKO MAUMIVU MENGI MADOGO MADOGO YASIYO NA JIBU.
 
Achana naye kabisa,mwanamke akifikia hatua hiyo tayari hata uhamishe mbingu hatoweza kuwa wa kwako anza maandalizi ya kumwacha,anza kujenga fikra kama msipokuwa pamoja utaishije,funga macho achana naye,cyo kwamba umemkosea ila kapata a man of her dreamz,atarudi kwako kama jamaa akimuumiza lakini never be a 2nd option,akirudi linga kabisaaaaa!piga chini now otherwise utaumia na mambo yako yataharibika..remember Y.O.L.O aka You Only Once,u were n't. Born 4 her.live ur dreams-never let her be an obstacle....dedication:kuachwa ni shughuli pevuuuuu,we unakonda yeyee ananenepa!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

thanks 4r positive mind
 
when you are happy you enjoy the music but when yo are sad you understand the lyrics.
Jst pull yourself and move on because it is too early to think she will want you again.
It hurts coz you had much expectation from her and expectations are the major roots of heart breaks.
Pole sana kaka
 
usijeuke nyuma kwa sababu ya kuumia...umefunguliwa mlango, upo anaekulilia....msahau huyo dada yani, wanawake ndivyo walivyo, tena wa chuo kikuu ndo kasaaaaaa......kaka, kama vipi we songesha life uongeze shavu..
 
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana

Kuna tofauti kati ya kukupenda na kuwa na hisia na wewe! yeye amekwambia hana hisia na wewe tena lakini jee bado
anakupenda? au amekushauri umuache kwanza kwa sababu hajisikii !!
Hayo masuala ya kutojisikia kufanya mapenzi na mwenza wako, huwa yanatokea na kuondoka, wakati mwengine huwa
yanakuja naturally, wakati mwengine yanatokana na external forces, labda kuna kijana mwengine anamsumbua au anampa
huduma, wakati mwengine ni stress tu, cha msingi jaribu kuongea nae akuweke wazi ama kuendelea na wewe au la ili uweze
kuchukua hatua sasa!!
Hayo mambo ya siwezi kumkosa, kuumia sijui siwezi kula, ni upepo tu baadae unapita na wala hukumbuki tena!!
 
Love is all about feelings; and more often than not; they come without our conscious control! Huyo mdada amekuambia wazi kwamba hana tena feelings.....remember, feelings is what create love! So, as far as amekuambia kwamba hana feelings kwako, then the best way ni wewe kukubaliana na hali! What, akiamua kuendelea na wewe kwavile tu anakuonea huruma! Are you ready with that? Hakupendi, lakini kwavile tu anaona unateseka, anaamua kuendelea na wewe! Will you be comfortable? If YES, then you must be selfish!

By the way, kumbe haya mambo ya kupenda fully 100% bado hadi leo yapo?! Always, unatakiwa kuwa 50%, 50%; otherwise, kila siku utakuwa unalia lia hapa! Don' Forget, Love Not! Love Not! The Things You Love May Change!! Maisha haya unatakiwa kupenda kichalechale sio kama Mlokole kwa Yesu!

kwenye red, hata mlokole siku hizi anapenda kichalechale!!
 
Achana naye kabisa,mwanamke akifikia hatua hiyo tayari hata uhamishe mbingu hatoweza kuwa wa kwako anza maandalizi ya kumwacha,anza kujenga fikra kama msipokuwa pamoja utaishije,funga macho achana naye,cyo kwamba umemkosea ila kapata a man of her dreamz,atarudi kwako kama jamaa akimuumiza lakini never be a 2nd option,akirudi linga kabisaaaaa!piga chini now otherwise utaumia na mambo yako yataharibika..remember Y.O.L.O aka You Only Once,u were n't. Born 4 her.live ur dreams-never let her be an obstacle....dedication:kuachwa ni shughuli pevuuuuu,we unakonda yeyee ananenepa!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

umemaliza yooote! Yaani huyu jamaa aangalie ustaarabu mwingine tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom