Pole sana ndugu yangu,jitahidi kujiweka bize utafanikiwa tu,usijipe sana hayo mawazo na jitahidi kuyapotezea. Tafuta ustaarabu wako maisha ni lazima yaendelee.Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana
bora ukae kimya kuliko kuposti ushauri wa kis**** kama huuMapenzi ni hisia so kama hana hisia hamna mapenzi tena hapo tena
Nachoshukuru amekwambia wazi kabisa ili ujue mapema
pole jikaze kijana ndo uanaume huo next time usiwe na msichana mmoja kuwa na alternative coz hukumuoa huyo
Kama kweli unataka arudi kwako acha kulialia,fanya kitu ambacho sasa unakiona kigumu,"kumpotezea",chunguza vitu ambavyo alikua anachukizwa navyo kwako jaribu kujiboresha,jitahidi kutoka na wasichana wengine wazuri na angalau akuone,usimpigie simu,mpe nafasi(zawadi) ya yeye kukumiss.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Achana naye kabisa,mwanamke akifikia hatua hiyo tayari hata uhamishe mbingu hatoweza kuwa wa kwako anza maandalizi ya kumwacha,anza kujenga fikra kama msipokuwa pamoja utaishije,funga macho achana naye,cyo kwamba umemkosea ila kapata a man of her dreamz,atarudi kwako kama jamaa akimuumiza lakini never be a 2nd option,akirudi linga kabisaaaaa!piga chini now otherwise utaumia na mambo yako yataharibika..remember Y.O.L.O aka You Only Once,u were n't. Born 4 her.live ur dreams-never let her be an obstacle....dedication:kuachwa ni shughuli pevuuuuu,we unakonda yeyee ananenepa!!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Usijali utapata mwingine! Bora ame kwambia ukweli na Mapenzi ndio yalivyo!
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana
Love is all about feelings; and more often than not; they come without our conscious control! Huyo mdada amekuambia wazi kwamba hana tena feelings.....remember, feelings is what create love! So, as far as amekuambia kwamba hana feelings kwako, then the best way ni wewe kukubaliana na hali! What, akiamua kuendelea na wewe kwavile tu anakuonea huruma! Are you ready with that? Hakupendi, lakini kwavile tu anaona unateseka, anaamua kuendelea na wewe! Will you be comfortable? If YES, then you must be selfish!
By the way, kumbe haya mambo ya kupenda fully 100% bado hadi leo yapo?! Always, unatakiwa kuwa 50%, 50%; otherwise, kila siku utakuwa unalia lia hapa! Don' Forget, Love Not! Love Not! The Things You Love May Change!! Maisha haya unatakiwa kupenda kichalechale sio kama Mlokole kwa Yesu!