Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana


kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,472
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,472 280
Pole sana ila jipongeze kwa kuwa situation kwa sasa ni known mbaya inakuwa umebadilikiwa tabia alafu msichana anaogopa kujisalimisha kwako kama hakutaki tena so BORA UMIVU MOJA KUBWA KULIKO MAUMIVU MENGI MADOGO MADOGO YASIYO NA JIBU.
thanks dats true...b4 cjam4c anambie tatzo nn! nlkuwa nateseka sana
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,472
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,472 280
usijeuke nyuma kwa sababu ya kuumia...umefunguliwa mlango, upo anaekulilia....msahau huyo dada yani, wanawake ndivyo walivyo, tena wa chuo kikuu ndo kasaaaaaa......kaka, kama vipi we songesha life uongeze shavu..
sure bt ts xo hd
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,472
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,472 280
Kuna tofauti kati ya kukupenda na kuwa na hisia na wewe! yeye amekwambia hana hisia na wewe tena lakini jee bado
anakupenda? au amekushauri umuache kwanza kwa sababu hajisikii !!
Hayo masuala ya kutojisikia kufanya mapenzi na mwenza wako, huwa yanatokea na kuondoka, wakati mwengine huwa
yanakuja naturally, wakati mwengine yanatokana na external forces, labda kuna kijana mwengine anamsumbua au anampa
huduma, wakati mwengine ni stress tu, cha msingi jaribu kuongea nae akuweke wazi ama kuendelea na wewe au la ili uweze
kuchukua hatua sasa!!
Hayo mambo ya siwezi kumkosa, kuumia sijui siwezi kula, ni upepo tu baadae unapita na wala hukumbuki tena!!
nimeongea nae, anasema kuna wiki tulipanda tutakuwa wote kwa baati mbaya nikasafkr, anasema aliji tune, ili anisahau na kweli akaweza, amesema awezi kuwa na mm tena hana hisia na mm tena, awezi kufanya chochote na mm' ukizingatia bado bampenda sana. Horo inaniuma sana sabu yake ipo weak, me nahisi kwasabu sijapata kazi ukzingatia anapenda mambo maziru.
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,472
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,472 280
Ntajitaidi kumpotezea' ila kiukweli roho inauma sana, nme mzoea sana yani sanaaa...
 
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Messages
1,257
Likes
60
Points
145
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2009
1,257 60 145
Pole jipe mda to find urself , mkaushie kwa mda then utaona respond yake, jifanye kama hukumbuki kama aliwahi kua wako hata cmu stop,najua wadada tulivyo atakuja kasi huyo then utamuendea kwa machale
Suprise, umenipa moyo kidogo na mimi, mana nina tatizo kama hilo, nimegombana na mpzn wangu jana nimejaribu kuplease but anaonekana kukaza usi wa kuvunja mahusiano, sababu ni kuwa namfuatilia sana analalamika kuwa hana uhuru kwani namfuatilia sana kwenye simu na facebook kwa watu anaochati nae, na sasa yuko chuo na nimemsaidia sana kipindi cha kwanza wakati anaripo chuo mana wazazi wake hawakuwa vizuri kifedha wakati huo, nimekuwa nae karibu sana kwa muda wote huo, kiukweli naweza kusema ni mwaminifu kiasi mana amekuwa muwazi kwangu kwa kila kitu, ila anapenda sana kuchati na nikifuatilia nakuta hakuna uhusiano wa kimapenz na hao anaochati, sasa amechukia na amewaomba ushauri wenzake huko hostel wakamshauri eti aachane na mimi kwani namfuatilia sana,na hii ni mara yapili kukosana but tulisameheana, nimemuomba msamaha sana lakini amekataa anasema ni mara pili nimerudia hivo ni tabia yangu hii anaogopa, jinsi alivyo ni mtu ambae si mwepesi wa kuchukia but ni mgumu kusamehe akishachukia, naombeni msaada wenu wadau, nimvutie muda afu nirudi tena kuomba msamaha au nipotezee? mana kwa sasa niko mabli nae ila nimemwahidi kwenda wikiend ijayo lakini amekataa, hayuko tayari kuonana na mimi, hivyo nimemuacha pending kwanza! nipeni ushaurini ndugu zangu,
samahani kwa kukurukia thread isiyo yangu,
 
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
1,899
Likes
132
Points
160
Age
35
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
1,899 132 160
Umenielewa mwache aende pasua kichwa huyo atakukumbuka
 
mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1,402
Likes
32
Points
135
mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
1,402 32 135
nimeongea nae, anasema kuna wiki tulipanda tutakuwa wote kwa baati mbaya nikasafkr, anasema aliji tune, ili anisahau na kweli akaweza, amesema awezi kuwa na mm tena hana hisia na mm tena, awezi kufanya chochote na mm' ukizingatia bado bampenda sana. Horo inaniuma sana sabu yake ipo weak, me nahisi kwasabu sijapata kazi ukzingatia anapenda mambo maziru.
Pole sana, pia nashkuru kwa response lako!
Kama huo ndio msimamo wake, basi huna budi uachane nae huyo mwanamke, hakufai, na anaonekana anapenda makubwa!!
Kama walivyosema wachangiaji waliotangulia, Mungu amekupenda sana kukuonyesha kwamba huyo mpenzi hakufai.
Vumilia, jikaze kiume, utafute kazi, baadae Mungu atakuletea wa kukufariji, hayo mambo ni kawaida sana umri huo!!
 
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Messages
1,257
Likes
60
Points
145
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2009
1,257 60 145
mmmmh! at that age????................
shukuru Mungu sana and calm down wait for the correct love. u mwanaume mzuri sana wala usiumie kwa hilo.
hapo red, umemuona? au unampamba tu
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,343
Likes
24,268
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,343 24,268 280
Pole sana muu unatakiwa ujue kitu kimoja kuwa uiona manyoya ujue keshaliwa huyo..........
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,686
Likes
3,649
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,686 3,649 280
umejudge kwa key board sio, ndio hivyo tunavypotea mpaka wengine wanaenda zanzibar, lol
zipo factors nyingi sana zinazpingia hapo
 
Chum Chang

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,001
Likes
10
Points
0
Chum Chang

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,001 10 0
Mapenzi ya dunia yakichina hayo
Pole sana cha msingi wewe futa vumbi endelea na safari
Katafute kazi uwasaidie wazazi wako au ujiendeleze kielimi zaidi
Tafuta mwengine japo wa kuzuga nae La ukijidai unapenda sana utakuja ku R.I.P kwa joto la mawazo
 
the challenger

the challenger

Member
Joined
Nov 14, 2012
Messages
13
Likes
1
Points
0
the challenger

the challenger

Member
Joined Nov 14, 2012
13 1 0
Kaka pole sana hayo ndiyo maisha, maana yake ni kwamba maisha ni sahani iliyojaa mseto wa mambo yasiyotambulika kwetu wanadamu.

USHAURI WANGU: Kukubali tatizo ni nusu au robo tatu ya utatuzi wake. Pia kukana ukweli na ualisia wa jambo ni kujidanganya nafsi, na mwisho huwa majuto. Nakuomba usishindanae na hali halisi ya kile kinachokuja mbele yako. Achana na huyo dada atakupotezea muda wako bure, focus kwenye mambo yako ya kimaendeleo zaidi na siku moja atakuja akupendaye, hakupendi huyo........ kwake ulikuwa unamsaidia kupass time ili apate chaguo lake. nakuomba sana kijana mwenzangu kupenda najua ni janga kama utakose kuchagua.......mwombe mungu atakujalia kupata mke na sio mchumba.
 
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
7,144
Likes
175
Points
160
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
7,144 175 160
love takes time to heal when u hurt so much,sory 4 broken lg najua jinsgan unaumia I have bn in the same situation lyk u lakini swala la kula ah hlo ni jambo jengne everythng comes and go jitahd ule vzur m2 m1 asikuzingud khvyo!!!
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,472
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,472 280
Nime kubaliana na ushauri wenu wana JF...tatzo nililo nalo saivi, ni jinsi ya kumsahau, nmefuta namba zake tatzo zpo kichwani kwani tuli zoeana sana, naombeni mbinu za kufanya ili nimsahau kabisa!
 

Forum statistics

Threads 1,272,906
Members 490,197
Posts 30,464,049