Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,597
Hio hali inakera mno ila dawa ni moja tu...wangu Nimemuweka kwenye radar so naona kenge wote wanaorusha ulimi wakitaka kumeza yai kwa kutumia tracker app.
Nimemnunulia simu ambayo ina in-built function ya kublock numbers hata usipozisave. Ukiweka on hio feature unaziblock namba ngeni za mabazazi wote kimya kimya.
Hatapata sms wala simu za kumchombeza toka kwao tena hata akijaribu kutuma response hatoipata.
Tabu nayoiona ni kuwa kuna aina flani ya wanawake ambao ni wataratibu sana, wale wenye aibu aibu ila wako vulnerable sana coz wanakuwaga laini sana wakiibukiwa na mafisi ghafla, wanakosaga msimamo kabisa na kujikuta wanagawagawa namba ovyo.Unakuta demu mpaka anatongozwa anashindwa kukaza mwisho ataona ajaribu kukubali one day.
Mkazanie aache hio tabia ingawa sio rahisi kama ni wa type nayozungumzia apo juu, akiendelea hivyo kwa mazingira ya chuo hapo jua kuna siku ataliwa tu ingawa siombei iwe hivyo.