Mpenzi wangu anatongozwa sana!

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
56,336
132,076
Hio hali inakera mno ila dawa ni moja tu...wangu Nimemuweka kwenye radar so naona kenge wote wanaorusha ulimi wakitaka kumeza yai kwa kutumia tracker app.

Nimemnunulia simu ambayo ina in-built function ya kublock numbers hata usipozisave. Ukiweka on hio feature unaziblock namba ngeni za mabazazi wote kimya kimya.
Hatapata sms wala simu za kumchombeza toka kwao tena hata akijaribu kutuma response hatoipata.

Tabu nayoiona ni kuwa kuna aina flani ya wanawake ambao ni wataratibu sana, wale wenye aibu aibu ila wako vulnerable sana coz wanakuwaga laini sana wakiibukiwa na mafisi ghafla, wanakosaga msimamo kabisa na kujikuta wanagawagawa namba ovyo.Unakuta demu mpaka anatongozwa anashindwa kukaza mwisho ataona ajaribu kukubali one day.

Mkazanie aache hio tabia ingawa sio rahisi kama ni wa type nayozungumzia apo juu, akiendelea hivyo kwa mazingira ya chuo hapo jua kuna siku ataliwa tu ingawa siombei iwe hivyo.
 
sergio 5

JF-Expert Member
May 22, 2017
8,684
9,362

Tabu nayoiona ni kuwa kuna aina flani ya wanawake ambao si vicheche ila wako vulnerable sana coz wanakuwaga laini sana wakiibukiwa na mafisi ghafla, wanakosaga msimamo kabisa na kujikuta wanagawagawa namba ovyo.
Mkazanie aache hio tabia aweze kukaza sio kila mtu anamfungukia tu, mwishowe ataliwa!
Mbona umechagua kuishi maisha ya tabu ivyo?
 
Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,816
2,803
yaani unataka kuchezea hiyo mbunye mpaka 2019...?

hakuna muowaji hapo, acha atongozwe
 
ben10jr

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
223
318
Muoe umalize mgogoro...

Akimuoa inazuia asitongozwe? Mwanamke mzuri kutongozwa na wanaume haijalishi marital status. Issue ni je, yeye(mwanamke) anajiwekaje mazingira yake? Anachangiaje kimuonekano/kimavazi/discipline katika kusababisha/kuchangia wanaume wamtongoze hovyo hovyo hivyo!
 
Anna333

Member
Jan 28, 2017
68
62
Hio hali inakera mno ila dawa ni moja tu...wangu Nimemuweka kwenye radar so naona kenge wote wanaorusha ulimi wakitaka kumeza yai kwa kutumia tracker app.

Nimemnunulia simu ambayo ina in-built function ya kublock numbers hata usipozisave. Ukiweka on hio feature unaziblock namba ngeni za mabazazi wote kimya kimya.
Hatapata sms wala simu za kumchombeza toka kwao tena hata akijaribu kutuma response hatoipata.

Tabu nayoiona ni kuwa kuna aina flani ya wanawake ambao ni wataratibu sana, wale wenye aibu aibu ila wako vulnerable sana coz wanakuwaga laini sana wakiibukiwa na mafisi ghafla, wanakosaga msimamo kabisa na kujikuta wanagawagawa namba ovyo.Unakuta demu mpaka anatongozwa anashindwa kukaza mwisho ataona ajaribu kukubali one day.

Mkazanie aache hio tabia ingawa sio rahisi kama ni wa type nayozungumzia apo juu, akiendelea hivyo kwa mazingira ya chuo hapo jua kuna siku ataliwa tu ingawa siombei iwe hivyo.

Na mimi umeniwekea hiyo function? Maana sipati simu wala msg.
 
hopetumaini

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
528
316
Thubutu yako! Usiusemee moyo wa Mtu ! Wenye visu vikali ndo wala nyama @ Dogo! Eti una uhakika, hao walioana wanaolala kitanda Kimoja na kujifunika shuka moja na wanacheat sembuse huyo!
Hamna kitu kama iyo, nimemkuta bikra (degree ya pili) kama angekua wakugongwa basi nisinge mkutanayo! Usiulize nilimpataje (mbinu za kimafia zilitumika mkuu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,630
20,021
Mbona una mshauri hivi mkuu? unajua me nasoma post zako na kuzifuatilia mkuu
Bora uendelee kuzifuatilia unaweza jifunza kitu,mazuri yachukue mabaya niachie.
Mwanaume mpaka akutongoze kuna mazingira ambayo anayaona kwako,ikiwa legelege utatongozwa mpaka ukome,komaa kuwa kauzu uone wangapi watakutongoza.
 
Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
13,934
22,195
Bora uendelee kuzifuatilia unaweza jifunza kitu,mazuri yachukue mabaya niachie.
Mwanaume mpaka akutongoze kuna mazingira ambayo anayaona kwako,ikiwa legelege utatongozwa mpaka ukome,komaa kuwa kauzu uone wangapi watakutongoza.
ok
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,523
14,090
Nikajiuliza swali; Hivi huyu dogoo kawatongoza wangapi hadi huyu wa sasa?? Je, wote uliowatongoza walikukubalia au? Utavuna unachopanda dogoo. Ka weye uliwahi kutongoza na wewe acha utongozewe. Hata ungelifunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mtihani, bado lecturer atamtongoza tu.
Mambo ingine isikupe mawazo ukaja feli bure. Chuoni hukuenda kutafuta mke bali digirii
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
8,888
8,506
Hamna kitu kama iyo, nimemkuta bikra (degree ya pili) kama angekua wakugongwa basi nisinge mkutanayo! Usiulize nilimpataje (mbinu za kimafia zilitumika mkuu)

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee nimekuelewa vizuri sana! Endelea kuwa na Imani hiyo kwake Siku zote! Nisije nikakuvuruga bure kijana wa Watu Ila kaa ukijua kuwa kumkuta Mwanamke bikra siyo kigezo pekee cha kuwa Siku zote atakuwa mwaminifu kwani Hata hao viruka njia hawakuanza Kwa kuwa na hizo bikra? Kila Mwanamke huwa na bikra ambaya hutolewa mara aanzapo mapenzi! Nakutia moyo Kwenye hiyo Imani yako Ila bora ungeweza % flani kuwa huyo ni binadamu ili Siku ukijamkuta usije ukajidhuru kwaajili Yake ! Mwanamke haliwi yamini!
 
majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
437
575
Acha atongozwe maana amejiweka katika mazingira ya kutongozwa. Mwanaume usipompa chance atakutongozaje?
Tena demu anaona KIKI akisemeshwa, sidhani kama anatongozwa kila mara, waweza kuta anasalimiwa, anakaribishwa soda au msosi nk. Yaani kuonyeshwa ukarimu, yeye kweye akili yake anatongozwa?! Zuzu kabisa...
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom