Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

Huyo demu humpendi la kwanza ila la pili ana utoto mwingi sababu mtu mzima akiwa haelewi kuwa kazini sio sehemu ya kuleteana mapenzi yenu atakuwa na akili mbovu tu! We demu unamuacha anaangalia season tu siku nzima unategemea kuna nini zaidi ya nyege za standard gauge kumuwasha.

Tafta demu mwenye majukumu anayejishughulisha uone kama atakuwa na huo ujinga wa text kila saa! Jifunze sio kila mwenye matako na sura nzuri anafaa kuwa mpenzi boya ww!
Mkuu naona unamchana mwamba
 
Unakuta mtu anataka muongee usiku kucha aseeeh.
Nakuelewa.
Mapenzi ni mawasiliano sawa, lakini sio kugandana kama Luba hivyo.
Hatuna vitu vingine vya kufanya?

Tuwe na space ya kumisiana.
Tuwe na wakati wa kufanya mengine.
Tuwe na vitu vingine vya kufanya while tunapendana.
 
Hahahahah kumbe unaijua michezo yako eeh baada ya kupata bwana mpya ndio mnavyotufanyiaga wakulungwa
Wakipata ma bwana wapya wanatugeuza wafungwa. Mpaka siku wakiwa kwenye mood nzuri ndo wanatoa unblock
IMG-20210710-WA0001.jpg
 
Ila mapenzi matamu sana response ya mwenzako ikiwa same. Mtu kama humpendi lazima uone kero.
 
Back
Top Bottom