Matope
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 892
- 679
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!