mwarabu wa dubai
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 317
- 303
Habarini wana jamvi heshima kwenu nyote ambao wote mnaendelea kupigania kupata mkate wa siku ili mradi tu mkono uweze kwenda kinywani.
Wakuu wiki iliyopita nilipata msala wa "main chick"wangu kumradhi kwa kutumia kiswa-english kwa kuzifumania sms za mwanamke mwingine kwenye "my cellural phone".
Nakumbuka nilipitiwa na usingizi ndipo alipotumia mwaya huo kupata chance ya kuingia inbox vilevile katika app ya whatsapp,dah ulipofika muda wa kulala sasa bidada ndipo alipoanza kuleta timbwili la kutaka kujua ukweli wa tukio hilo.
Nimemchunia zaidi ya wiki sasa ila nikaona sio fair ngoja niombe msamaha cha ajabu amenisamehe na sikufanya ajizi nikala mzigo muda huo huo.Let us cut the story though nina maswali kadhaa ya kujiuliza.
01/Msamaha alionipa ni wa kinafki au unauhalisia?
02/Kwanini aliniruhusu kumega tunda lake na maisha kurudi kama awali?
03/Kumbuka hatuna ndoa mimi na yeye!!Kila mtu anaishi kwake ila huwa namgegeda kwake most of the time.
I humbly submit.