Mpenzi wangu amechepuka, natamani kumkomesha

Hapa ndo wakati wa kujitambua busara zako ili siku ukiwa na furaha ujivunie..visasi,chuki na hasira havita kusaidia baadala yake vitazidi kukuumiza...kila binadam unaepishana nae huko barabarani kesha umizwa kwenye mapenzi ...na mapito hayo ndo yanakujenga na kukupa nguvu na ari mpya...jitahdi kutumia muda wako huu kua bora usije juta mara mbili..

SM
Daaah aisee umeongea point nzuri sana
 
USIPENDE KUUMIZA KICHWA PIGA CHINI TAFUTA MWINGINE,WAPO WENGI SANA KAKA,UTAKUJA KUUMIA BURE NA SASA HAKUNA MWANAMKE ATAKAE KONDA KISA WANAWAKE,MWANAMKE UNATONGIZA LEO KESHO UNAENDA KUCHAPA,PIGA CHINI UYO
 
1.never put all your hopes on one woman
2.jifunze kumsikiliza mwanamke.na kuchukua hatua.
3.itete nafsi zako
Usizid kujiangamiza

4...we.si wa kwanza kupitia.ilo ttzo...
5.Ukiweza.mwambie.ukwel
Wanawake wamezaliwa.kutawaliwa.na.meanaume mmoja
So hata.ukimgonga mama ake.akawa.mke mwenzie flesh tu anasamehe.na kusaha fasta
Ila ss wanaume ni ..tupo kama ulivo ww
Means.ww hupigi njee!!?!?!?
 
Wewe jamaa fala kabisa yaani kugongewa demu tu ndo mapovu yamakutoka hivyo wengine huwa tunagongewa wake lakini huwa tunakaa kimya tu. Sijui uko wewe jamaa umeniharibia siku yangu sana, hawa madem ni wetu wote lazima kuonjeana. Acha uchoyo huo hautakufikisha mbali.

Cha pekee.ake kaburi tu.sio
 
Wewe jamaa fala kabisa yaani kugongewa demu tu ndo mapovu yamakutoka hivyo wengine huwa tunagongewa wake lakini huwa tunakaa kimya tu. Sijui uko wewe jamaa umeniharibia siku yangu sana, hawa madem ni wetu wote lazima kuonjeana. Acha uchoyo huo hautakufikisha mbali.

Muulize kijiko anachotumia hotelini anaondoka nachoo? Jibu ni hapana, hivyo awe mpole! Hawa ni wetu sote
 
Asante mkuu.., ila nahisi kudharauliwa sana ndo maana. ni kama ameona sina cha kumfanya.
Tafuta kama ana mdogo wake piga
Kama ana dada zake piga
Marafiki zake piga
Kama Mama yake bado kijana muibukie mpe mashairi piga
Huwezi kosa wa kupiga aliye close na yy bana
 
"Nahisi kudharauliwa" kwa mwanaume yeyote anaeelewa maana ya hiyo quotation atakuwa anaelewa nini maana yake. Una udhaifu gani unaohisi anaujua pengine ndo anautumia kama fimbo kukuadhibu, ukiusema nitakupa mfano wangu uliowahi nitokea mwaka uliopita utajifunza kitu
Anajua nampenda sana mkuu
 
Huwezi penda tena kama utakuwa na hasira au kinyongo dhidi ya mpenzi wa zamani,,, amani yako kaka ipo kwenye msamaa jilazimishe tu,,, puuzia ujinga alio fanya then utambue wewe sio mtu wa kwanza kufanyiwa hivo,, mshukuru tu kwa kukufumbua macho ili usiteleze tena,, jikaze kiume broo inawezekana kabisa kumsahau kwa 100%,,, mimi ni shahidi katika hili
Asante kaka...
 
Jitambue mkuu, hivi mwanamke gani anayejiheshimu atakubali kupiga picha za uchi?! Mwenzio aliyemzalisha alimshindwa, wewe ndio utamuweza?
Achana naye.
 
Wewe jamaa fala kabisa yaani kugongewa demu tu ndo mapovu yamakutoka hivyo wengine huwa tunagongewa wake lakini huwa tunakaa kimya tu. Sijui uko wewe jamaa umeniharibia siku yangu sana, hawa madem ni wetu wote lazima kuonjeana. Acha uchoyo huo hautakufikisha mbali.
daah w jamaa umenfuraisha sana...
 
Muungwana hua halipizi kisasi,huenda ulimpenda sana lakini hukumkuta Bikra na wala hajakukuta,chamsingi nikuachana nae ipo siku ataijua thamani yako japo kwa masaa na kumbuka hakuna dawa nzuri kama kutulia kimnya,futa picha zake video na uchafu wote wake halafu uone majibu yake...
 
Helloooooos....,

Mwenzenu yamenikuta jamn, nimeishi na mwanamke mmoja yapata mwaka sasa, mwanamke huyu alishakuwa na mtoto kwenye mahusiano yake yaliyopita, ikawa bado hatujaafikia hatua ya kuoana.

Kilichonifikisha hapa leo ni kwamba, huyu mwenzangu kuna kipindi aliniambia kuna mwanaume mmoja anamfuatilia, mwanaume ni mme wa mtu. lakini kadiri siku zilivyoenda nikaja kundua kuwa ametembea naye tayari na wanaendelea, nilivokuja kumwuliza akawa anakuja juu eti namfuatilia sana.

Kiukweli roho imeniuma mnooo, sijui hata ni kwann ila mpaka afya yangu imedorora, nikikumbuka hili tukio hata kula siwezi, najihisi kudharauliwa sana maana anatembea na mwanaume mwingine wakati nipo naye zaidi aliniambia habari zake kabla.

nimejitahidi nijisahaulishe hili suala ila bado tu, najaribu kumsamehe (siyo kurudiana naye) ili niwe mwepesi ila bado tuu.

nina picha zake za uchi, na videos pia.., kuna wakati natamani kuzivujisha ili kama mbwayi mbwayi tu labda nitapata amani ya moyo, au nimtumie yeye kwanza ili naye asiwe na amani kama ilivyo kwangu...
Najua hata sahv nikimwita aje geto atakuja, sometym nafikiria sijui nimtafute dem afu nimwite aje geto then anikute namgonga demu mwingine afu ye nimtoe baru labda kitamuuma na yy.

Nina contact za wadogo zake wawili ambao hawajui kama nilikuwa na date naye, kuna wakati napata msukumo nimtongoze mmoja wao ili kimuume naye apate machungu kama haya.

Kwakweli sijiewi, naombeni ushauri wenu nivuke hapa. Nibaki na amani na uanaume wangu utukuke.

uanamume wako utukuke? Unafikiri ukilipa kisasi ndo uanamume wako utatukuka? Unafikiri ukisamehe uanamume wako utakua umekuwa deprived?
 
Back
Top Bottom