Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

Nakuombea uwe umeshapata UKIMWI. MALAYA MKUBWA WEWE. HATA MAISHA HAUJAANZA UNAMILIKI WANAWAKE WAWILI. ACHA YAKUPATE.
 
Uwezi pata ukimwi mana uyo ni mtumiaji mzuri wa dawa uwezi pata ukimwi hata.
 
Angalia afya ya mama na mlindeni mtoto wa tumboni.

Hiyo kadi alikuachia tu wala siyo aliisahau.

Ukimwi siyo korona kwamba utakufa sasa, ukijitunza unaishi nao tu.

Maisha lazima yaendelee mwanangu.
Mama una busara mno, ila anavuna alichopanda.
 
Mkuu nenda kwanza kapime,,, acha kupiga ramli..

Kama umesalimika ifanye kondomu kuwa rafiki.

Thank me later
 
Kabla ya Kutulia na mke wangu wa sasa nilikuwa natia sana wanawake Wanadangaji, siku moja nikaambiwa huyo ulieenda nae ana ngoma, niliwaza sana cause condom ilipasuka nikabadilisha, ila kupasukiwa condom kunaleta stess. so nikajisemea SITAENDA Kupima, nikagoogle dalil za ukimwi nikaamua kuzisubiria kama zitakuja na hazikuwahi kuja nilikaa kama miezi 6 nazisikilizia na hazikuja hadi leo, na sijawahi kuugua hata kichwa.

Ushauri wangu kwa mshikaji kasababu kesi yake anajua kabisa yupo 50%/50% kupata ngoma basi asikilizie kama wiki kadhaa akiona ananza kuwa na dalili za mafua mafua, homa kichwa kuuma akapime apewe dawa. ila asipoona dalili kama hizo apige chini, kwa sababu upime usipime kama una ngoma unayo tu na HIV inachukua miaka 10 hadi 15 kuwa UKIMWI, so ni miaka mingi sana.

Ila ni imani yangu mwanamke huyo amejaribu kumuambikiza mshikaji, cause alijua amewaka,
Asante kwa ushauri wako kaka,
Barikiwa
 
Angalia afya ya mama na mlindeni mtoto wa tumboni.

Hiyo kadi alikuachia tu wala siyo aliisahau.

Ukimwi siyo korona kwamba utakufa sasa, ukijitunza unaishi nao tu.

Maisha lazima yaendelee mwanangu.
Barikiwa sana kwa ushauri mama yangu
 
My guess;
Uyo bibie wakat una mbikiri hakua na ngoma,ngoma alikuja kuipata baada ya nyinyi kuachana kpnd mnaingia mwaka wa pili akaenda kutembea na Husband to be wake "meneja wa hoteli". Alivyojigundua ameukwaa naww kumtenga akaona hasife pekeake,akawa anakulazimisha aje na miss you nyingi nyingi. Ukanasa kwny mtego wake na malengo yake mawili yakatimia (umpe mimba na akupe ngoma)
Pole sana mdg wng, imeandikwa wanawake tuishi nao kwa akili. Ulimuacha kiukatili ndomana naye kakufanyia ukatili (it's my guess).
"Am out"
Kwa kifupi ni ivyoo maelezo yanatosha.wanawake ni mashetani wana roho mbaya
 
Ndugu yangu nmefatilia sana acha nikushaur jambo ww km unawasiwasi nenda tu kapime unaeza kujitesa na mawazo ukakonda kumbe upo vzr na mawazo yanadhoofisha sana mwil pamoja na nafsi ww piga moyo konde Naimani Allah yu pamoja na we jikaze nenda kajue afya yako usijipime kwa macho itakutafuna sana katoe wasiwasi
 
Soon wana toa remex ya ARv tamu kama pipi ila ni kwa ajiri ya watoto pole bro uta komaa na zile zingine
 
Back
Top Bottom