Mpenzi wako kuwaita rafiki zake wa kiume my, dear, wangu, my dear

Kind

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
247
39
Waandugu hivi unamchukiliaje msichana wako pale anapowaita marafiki zake wakiume majina kama my, dear, my dear, wangu. Alafu anarafiki yake mmoja anampigia sana simu muda wote ukiuliza anasema ni anamshauri kwani anamatatizo sana ya kimaisha.
 
unakuwa ukijua huyu ni wa mgegedo tuu na siku ya siku una muomba tigo
 
Mie mapenzi yalinipita kushoto..watakuja kukujibu wajuvi.
 
Ukiona manyoya.......................................??????????
 
Tend to respond accordingly to the tune of the stimuli
Waandugu hivi unamchukiliaje msichana wako pale anapowaita marafiki zake wakiume majina kama my, dear, my dear, wangu. Alafu anarafiki yake mmoja anampigia sana simu muda wote ukiuliza anasema ni anamshauri kwani anamatatizo sana ya kimaisha.
 
Waandugu hivi unamchukiliaje
msichana wako pale anapowaita marafiki zake wakiume majina kama my,
dear, my dear, wangu. Alafu anarafiki yake mmoja anampigia sana simu
muda wote ukiuliza anasema ni anamshauri kwani anamatatizo sana ya
kimaisha.

Ndio uanze nawe kumshauri na kumsaidia hayo matatizo ya kimaisha ili apunguze idadi ya marafiki.
Kusoma hujui na picha pia!
 
Ujana ni maji ya moto
Siku hizi ujanja ni kunywa mchuzi wa pwezaaaaa
masikini roho yangu mimiii, roho yanguuu!

Disclimer: kuchapiwa ni siri ya ndani. Usihangaike kuwinda wezi, tulia siku ya siku utawabamba. Unajitia presha tu hapo baba.
 
Hivi kweli mchuzi wa pweza unasaidia kurudisha heshima?
 
Ujana ni maji ya moto
Siku hizi ujanja ni kunywa mchuzi wa pwezaaaaa
masikini roho yangu mimiii, roho yanguuu!

Disclimer: kuchapiwa ni siri ya ndani. Usihangaike kuwinda wezi, tulia siku ya siku utawabamba. Unajitia presha tu hapo baba.
hahahaha haya maneno walinena wazee wa zamaniiii
ex kidumu King'asti
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuitwa mpenzi na usiambulie kitu...hayo maneno tu,au mwenzetu hujawahi kuitwa dear?....hiyo ndio wanawake ya mjini especially wakiwa na shida,utaitwa majina yoote BUT sio lazima mwisho wa siku akupe mchezo, ni swagger tu!!
 
inategemea ntu na ntu...ila all i know is that women are one of a romantic creatures that kuwaita wanawake wenzao switie...mpenzi...honey mambo ya kawaida sana ila kama li wivu lako ni A+ inaumajeee
 
Waandugu hivi unamchukiliaje msichana wako pale anapowaita marafiki zake wakiume majina kama my, dear, my dear, wangu. Alafu anarafiki yake mmoja anampigia sana simu muda wote ukiuliza anasema ni anamshauri kwani anamatatizo sana ya kimaisha.
love-triangle-12218992.jpg
 
Kwani kamusi inaonesha nini maana ya maneno "dear", "my" nk?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom