Mpenzi wako anapokubadilikia kiubaya unatakiwa ufanyeje?

toto zuli

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
265
278
Wandugu msaada hivi ikifikia hatua mpenzi wako amekubadilikia kiubaya na hiyo hali inakuumiza kubadilika kwake unatakiwa ufanyeje?

Maana kuna wakati unaamua mtu kujishusha kuwa mpole unafanya vitu anavyotaka yeye lakini habadiliki kuna wakati unajaribu kumuombaa msamaha labda kote ulimpokoaea atakusamehe lakini wapi hii hali inakuumiza na inazidi kukumizaa siku hadi siku.

Hivi nini unatakiwa kufanya naombeni ushauri?

Hii hali inaniumiza sana
 
Hawezi akakubadilikia ghafla, kuna kitu umeanza kumfanyia wewe?
Yes inawezekana labda nilimkosea labda bila kukijujua na umeshajishusha chini kumuomba msamaha na ukaomba mmalize tofauti zenu kwa kugundua mimi ndo chanzo lakini habadiliki
 
Yes inawezekana labda nilimkosea labda bila kukijujua na umeshajishusha chini kumuomba msamaha na ukaomba mmalize tofauti zenu kwa kugundua mimi ndo chanzo lakini habadiliki

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Yes hatumalizagi hivyo vitu,kaguswa na nyoka akiguswa na jani aNadhani nyoka.
Hapo we anza mbere baas
 
kwani ulimfanyia kosa gani? Maa a kuna makosa mengine ukiyafanya huezi aminika tena
Tulipishana kiswahiliii tuu kuna vitu niliongea vilimkwaza katika mabishano ya kuwekana sawa hilo swala lilitokea tangu january hadi leo hii hajarudi katika normal conditions kama kipindi kile tunapiga storie na tunafurahia uhusiano wetu .

Nilijarubu kujishusha kuomba msamaha akadai hana neno na mimi yalishapita kanisamehe lakini hadi leo bado kaniweka njia panda habadiliki zaidi zaidi ananipa stress imefikia wakati kila kitu kwangu kwake ni kibayaaa
 
unaonekana ni mbinafsi sana, sio muwazi, niulize kwanini
 
Mwambie kama hamuwezi kuishi kwa furaha kila mtu akaitafute furaha kwingine.
 
Inategemea ulichomfanyia mwenzio. Kuna vitendo uingia hadi kwenye mizizi ya mahusiano na kuvunja ule ukaribu wa wapenzi milele.
 
Back
Top Bottom