Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

1. Darling
2. Dear
3. Sweet heart
4. Jina lake
5. Jina lake la utotoni
6. Jina la mama yake
7 jina lake la ukoo
8. Kimeo
9. *****
10. Mkosi
 
Jina lake, sipati picha akigundua umemsevu kuanzia namba 8 mpaka 10 patachimbika teh teh teh sasa namba 9 jina lipi hilo?
 
Bujibuji uliwaza nini mpaka ukaamua kuanzisha hii thread? mimi nimem-save mpenzi wangu kwa kutumia jina la darling.
 
1. Darling
2. Dear
3. Sweet heart
4. Jina lake
5. Jina lake la utotoni
6. Jina la mama yake
7 jina lake la ukoo
8. Kimeo
9. *****
10. Mkosi

The most beatiful woman,baby,darlin,wife and soulmate. Amen.
 
Jina lake, sipati picha akigundua umemsevu kuanzia namba 8 mpaka 10 patachimbika teh teh teh sasa namba 9 jina lipi hilo?

unanikumbusha cku moja mdogo wa frnd wangu alitoka kwa bfrnd wake akaja hapo kwa sis waee akilia sana, sis wake akamuuliza kulikoni? akasema alikuwa anapekuwa cm ya fulani kuangalia kam save kwa jina gani mana akiangalia jina lake halioni ikabidi ajical cm yake inaita na bfrnd kam save kama "bwana shamba"...yaani mwenze2 analia cc tulikaukia kucheka.....nimesave " husband" na yeye ka save "wife"
 
1. Darling
2. Dear
3. Sweet heart
4. Jina lake
5. Jina lake la utotoni
6. Jina la mama yake
7 jina lake la ukoo
8. Kimeo
9. *****
10. Mkosi

ZZZWife - hii inasaidia kama unatuma sms kwa "small house" usije ukakosea uka-select jina lake kwa bahati mbaya!
 
Back
Top Bottom