Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Halafu kukawa na rumors kuwa alitoka pia na Jada. Lakini naona walisema vile kutokana na Ile show yao walikuwa pamoja ya RN. Walikuwa na chemistry ya nguvu sana when it came to romance mpaka ikawa questionable.

Sidhani walitoka lakini cos Marc and Will seem to be good friends.
Oooh una kumbukumbu sana Nalendwa...nilisikia hata mimi lkn nilikuwa bado jinga jinga sikufatilia ( utoto).... Kwa navyoona now ile Marc na Jada walikulana bana!

Ndo kipindi ndoa ya Marc ina mtifuano na ya Jada nayo inapumulia ICU....walikulana na jlo akajua!
 
Khaa!, heheh, aseh!

Hivi wana Kenzo tu, hawakupata wengine pamoja?!
No...wana Kenzo tu!

Hounsou juzi kati kampeleka Kenzo Benin kijijini kwao huko nyumba za udongo, seems kama Kenzo hakufurahia

Basi Kimora full kusifia kila picha kwenye page ya Djimon
 
Oooh una kumbukumbu sana Nalendwa...nilisikia hata mimi lkn nilikuwa bado jinga jinga sikufatilia ( utoto).... Kwa navyoona now ile Marc na Jada walikulana bana!

Ndo kipindi ndoa ya Marc ina mtifuano na ya Jada nayo inapumulia ICU....walikulana na jlo akajua!

Hahaha!, nakumbuka RN.
Mh, lakini Marc na Jada kulana kabisa?!!
Hivi kweli Will na Marc wangeweza kuwa marafiki karibu tena kama hivi walivyo, kama Will angeliwa mkewe?!
Ila ile chemistry yao haikuwa ya kawaida, romantic scenes zao ziliwapendeza kama couple ya ukweli.
Waliuzwa hili pia, kama kulikuwa na activities zinaendelea behind the scenes. Wakakanusha kuwa they're just good friends.

Hivi kisa cha ku break up na JLo, Marc ndo alicheat right?!
JLo relationships zake mshike mshike haswa. Labda huyu A rod atatulia nae sasa. Wanapendezeana wenyewe.
 
No...wana Kenzo tu!

Hounsou juzi kati kampeleka Kenzo Benin kijijini kwao huko nyumba za udongo, seems kama Kenzo hakufurahia

Basi Kimora full kusifia kila picha kwenye page ya Djimon

Heheh!, Kimora alikubali Kenzo kwenda kijijini..
Sasa mbona inaonekana Kimora bado anampenda Hounsou.
Au alipata boyfriend mwingine?!
 
Hahaha!, nakumbuka RN.
Mh, lakini Marc na Jada kulana kabisa?!!
Hivi kweli Will na Marc wangeweza kuwa marafiki karibu tena kama hivi walivyo, kama Will angeliwa mkewe?!
Ila ile chemistry yao haikuwa ya kawaida, romantic scenes zao ziliwapendeza kama couple ya ukweli.
Waliuzwa hili pia, kama kulikuwa na activities zinaendelea behind the scenes. Wakakanusha kuwa they're just good friends.

Hivi kisa cha ku break up na JLo, Marc ndo alicheat right?!
JLo relationships zake mshike mshike haswa. Labda huyu A rod atatulia nae sasa. Wanapendezeana wenyewe.
Mmmh JLO huwa hawezagi kukaa na mwanaume for so long, huwa anazikinai dushe mapema mnoo! Yaaan ana umalaya wa kiume!.... Yy anasema alimbwaga Marc sababu ya kusniff na kumpiga daily!( Ila itakuwa alimchoka kama kawaida yake) ndo akaenda kwa kale kaserengeti akakaa nacho akaona ni kamarioo ka mwendokasi akakamwaga akakanyang'anya assets alizokanunulia!

Sio kwamba katulia kwa Alex big no, jlo anazeeka sasa hivi asipotulia pale atampata wapi mwanaume mwingine kama Arod? Kama hajarudi kulisha vibenten vyake akina Casper!.... Na JLo kuhonga huwa inamuuma sana hela ake
 
Eti anazi kinai! 😁😂😂
I can't with you! 😂😂

JLo huwa namfananisha na Halle Berry. Hawaja dumu kwenye ndoa, tena zaidi ya mara moja.
Halafu kuna fununu kuwa wanataka ku move to the next level na A rod. Walionekana pamoja Miami kwenye jewelry store, shopping for a ring. Labda akifanikwa this time atatulia. May be 4th time will be a charm.
 
Halafu kwanini wanaita majina yao watoto wao?

Kale ka Barron kana tabia mbaya sijui wanakaleaje!

Trump mbongo kabisa kasoro rangi tena mhaya

Hawa wanavyoweka majina naona huwa wanakuwa so simple. I'm not sure kama huwa wanajali sana background na original ya jina la mtoto.
Barron atakuwa kama wakina Malia. Anakulia white house.
Yaani huyu Mkulu ni mwingi aseh!
Labda kwa sasa ambapo ana ulinzi 24hrs imebidi atulie.

Hahah!, hujatulia wewe, eti kabila gani?! :D
 
Eti anazi kinai!
I can't with you!

JLo huwa namfananisha na Halle Berry. Hawaja dumu kwenye ndoa, tena zaidi ya mara moja.
Halafu kuna fununu kuwa wanataka ku move to the next level na A rod. Walionekana pamoja Miami kwenye jewelry store, shopping for a ring. Labda akifanikwa this time atatulia. May be 4th time will be a charm.
Jlo anapenda kuolewa jamani mweeh!.... Tatizo kuzitunza hizo ndoa ndo kuna kazi!

Arod akimuoa ajiandae kibuti cha maana, tabia ya mtu ni kama ngozi!

Halle Berry naonaga katulia sema nahisi anapata wrong choice?

Sema sasa hivi jlo yuko happy sana tofauti na nyuma!
 
Hawa wanavyoweka majina naona huwa wanakuwa so simple. I'm not sure kama huwa wanajali sana background na original ya jina la mtoto.
Barron atakuwa kama wakina Malia. Anakulia white house.
Yaani huyu Mkulu ni mwingi aseh!
Labda kwa sasa ambapo ana ulinzi 24hrs imebidi atulie.

Hahah!, hujatulia wewe, eti kabila gani?! :D
Haaahaaaa mhaya
 
Jana umeenda kumzika KP?

Hahah!, haki wewe!

Muone Diddy hapa makaburini. Jamaa kama vile haamini amini anamwacha hapo..

"At the Evergreen Memorial Garden Cemetery in Columbus, Georgia, on Saturday, Combs sat near Kim Porter’s burial site by himself. Framed by two collections of flowers, he looked solemn in a tuxedo with a bow tie as he held what may have been a program.."

sean-combs.jpg
 
Jlo anapenda kuolewa jamani mweeh!.... Tatizo kuzitunza hizo ndoa ndo kuna kazi!

Arod akimuoa ajiandae kibuti cha maana, tabia ya mtu ni kama ngozi!

Halle Berry naonaga katulia sema nahisi anapata wrong choice?

Sema sasa hivi jlo yuko happy sana tofauti na nyuma!

Labda atatulia na A rod, cos Alex anaonekana kafa sana na kuoza kwa JLo. Sio kama wapenzi wake wa nyuma.
Halafu sikujua A.rod ni mdogo hivyo kwa JLo. Wanaonekana kama wako sawa.

Halle Berry sijui huwa anapatwa na nini na wanaume wake.
Unakumbuka wale wawili waliopigana, nyumbani kwa Halle?!
Huyu wa mwisho waliendana lakini ndo hivyo, haiku work out. Sasa naona kaamua kupiga zoezi la nguvu tu.
 
Hahah!, haki wewe!

Muone Diddy hapa makaburini. Jamaa kama vile haamini amini anamwacha hapo..

"At the Evergreen Memorial Garden Cemetery in Columbus, Georgia, on Saturday, Combs sat near Kim Porter’s burial site by himself. Framed by two collections of flowers, he looked solemn in a tuxedo with a bow tie as he held what may have been a program.."

View attachment 946253
Maskini daaaah! ....KP alimpenda diddy kiukweli, wengine wanamchuna tu!
 
Labda atatulia na A rod, cos Alex anaonekana kafa sana na kuoza kwa JLo. Sio kama wapenzi wake wa nyuma.
Halafu sikujua A.rod ni mdogo hivyo kwa JLo. Wanaonekana kama wako sawa.

Halle Berry sijui huwa anapatwa na nini na wanaume wake.
Unakumbuka wale wawili waliopigana, nyumbani kwa Halle?!
Huyu wa mwisho waliendana lakini ndo hivyo, haiku work out. Sasa naona kaamua kupiga zoezi la nguvu tu.
Eeh mwaya Arod mdogo afu anaonekana jibaba sasa ....hebu waoane sasa waache kuzini!

Halafu umenikumbusha Halle, mchunguzage waume zake wote huwa age sawa na yy kama anapanga hivi David, eric na Olivier huwa ni the same age na yeye sijui why....huwaga nacheka!

Maskini siku hizi kaona aachane na mapenzi kagundua sio fungu lake ....mapenzi awaachie kina Bey mvumilivu uchumba sugu miaka 10+ hujaolewa ..eeeew! Beyonce kiboko yao
 
Back
Top Bottom