Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Eeh mwaya Arod mdogo afu anaonekana jibaba sasa ....hebu waoane sasa waache kuzini!

Halafu umenikumbusha Halle, mchunguzage waume zake wote huwa age sawa na yy kama anapanga hivi David, eric na Olivier huwa ni the same age na yeye sijui why....huwaga nacheka!

Maskini siku hizi kaona aachane na mapenzi kagundua sio fungu lake ....mapenzi awaachie kina Bey mvumilivu uchumba sugu miaka 10+ hujaolewa ..eeeew! Beyonce kiboko yao


Eti sio fungu lake...lol.
Halafu baada ya ndoa ya pili kuvunjika alisemaga ndoa basi, na akaja ku fall kwa Olivier. Lakini ndoa haikufanikiwa tena..

Bey ni southern girl yule, atakuwa na strong beliefs na ties katika family.
Yaani hakati tamaa na ndoa wala mwanaume. Imagine labda angekuwa mwingine, Jay angeshamwagwa kitambo na kuwa replaced na mwingine.
 
Eti sio fungu lake...lol.
Halafu baada ya ndoa ya pili kuvunjika alisemaga ndoa basi, na akaja ku fall kwa Olivier. Lakini ndoa haikufanikiwa tena..

Bey ni southern girl yule, atakuwa na strong beliefs na ties katika family.
Yaani hakati tamaa na ndoa wala mwanaume. Imagine labda angekuwa mwingine, Jay angeshamwagwa kitambo na kuwa replaced na mwingine.
Hivoo? Southern girls wavumilivu eeeh?....Bey konyoo jamani!

Nasikia jigga mwingi kweli, na akilewa anahadithia jinsi demu alivyofosi ndoa!

Sasa anajifanyaga kumzimia Riri hivi wangewezana kweli?
 
..Nasikia jigga mwingi kweli, na akilewa anahadithia jinsi demu alivyofosi ndoa!

Sasa anajifanyaga kumzimia Riri hivi wangewezana kweli?


Mh!, bad girl Riri na Jay?!!
Naona kama wangeishia njiani! :D
Huwezi jua lakini.

Riri juzi kaweka pose fulani zito Insta kutangaza lebel yake, Chris Brown aka like na compliment juu. Sasa acha team Riri wamjie juu Chris...lol
Wengine wanamwambia "leave Riri alone"..
Kuna walomwita Chris psycho, kuna wanaomwambia Riri ampe Chris block.
Basi ni mtafaruki tu! :D

Pose lililomshinda Chris Uzalendo...

Capture+_2018-11-26-03-48-59.png
 
Yes ...Jay huwaga hamzimikii Bey sijui kwanini, hivi unajua hadi bidada anamuhonga assets, cash ( MasterCard ya Bey inamilikiwa na Jay) halafu linaenda kuhonga striper, hadi yule mshona nguo Roy, vidada 20's vinakamatia mshiko wa hov na jamaa unaambiwa anahonga kinoma...usimuone Bey anajichekesha chekesha ukaona anafaidi hana lolote!...siri zake nyingi Kelly Rowland ndo anazijua na anazifichua kwa mahater wa Bey
Hlf ni cousin hawa
 
Muangalie orprah alivyo sasa hivi anaonekana mdogo na sura ya kisichana ukilinganisha alivyokuwa 30 yrs ago. Pia muangalie tony braxton. Ila pia ni kulinga na genes za mtu hata ukienda under the knife na huna genes nzuri utakongoroka tu kama michael jackson. Mjane wa elvis presley alikuwa tishio enz za ujana wake lakini sasa hivi ukimuona licha ya maplastic surgery anatisha
Sky Eclat
Bro.
Elvis Presley umeona wapi sasa hivi aseeh?
Mbona alifariki mwaka 1977
Sasa huko ulikomwona kakongoroka ni wapi tujutane.
Mtu amefariki miaka 44 iliyopita
 
Mwanamitindo na Muigizaji wa filamu, Kim Porter, ambaye pia alikuwa ni mpenzi wa Mwanamuziki Sean Combs au Puff Daddy (P. Diddy), amefariki dunia nyumbani kwake usiku wa jana (Alhamisi) akiwa na umri wa miaka 47.

Porter na Diddy walifanikiwa kupata watoto watatu katika mahusiano yao yaliyodumu tangu 1994 na kuvunjika 2007. Mtoto wa kwanza akiwa ni Christian mwenye umri wa miaka 20 hivi sasa, na mabinti mapacha wawili wenye miaka 11.

Japo chanzo cha kifo chake hakijaelezwa bado, ila marehemu alikuwa akisumbuliwa na mafua makali yaliyoambanatana na pneumonia.

Mungu ailaze roho ya Kim Porter mahali pema peponi.

Amen!

View attachment 935800View attachment 935801
Msiba upo wapi?
 
Back
Top Bottom