Mpenzi wa Zamani anaisumbua kichwa yangu!

mimi nadhani alioa wife material, a woman who can rise his watoto kwa namna nzuri (awe umbo zuru au baya ila alitaki mke mwema)
By this time anawazia apate cherokee wakubamba,wa kumridhisha sexually just for some periods.(wanaume wengi wana hii kasumba kwa sasa)

Mertina rekebisha hapo
 
Ogopa mdada anayeng'ang'ania kuwa back-up kama ukoma................ ukilianzisha tu, familia yako ipo matatani.
 
Lizzy mpaka kuja kuuliza hapa tayari inaonyesha haieshimu iyo ndoa na ana mawazo mawili kuhusu mkewe anayeheshimu jibu lingekuwa hapana na kumsahau angeshasahau.

Anachotaka ni tumhalalishie tamaa yake tu!!

Haya mzee jichanganye ila uwe tayari na matatizo yanayoweza kukupotezea ndoa yako mbeleni.....
 
mimi nadhani alioa wife material, a woman who can rise his watoto kwa namna nzuri (awe umbo zuru au baya ila alitaki mke mwema)
By this time anawazia apate cherokee wakubamba,wa kumridhisha sexually just for some periods.(wanaume wengi wana hii kasumba kwa sasa)

Hii ndo inaitwa tamaa mbaya....huku atake mke wa kuzaa tu na kulea kule atake binti wa kumpa maraha!!Siangetafuta anaefit pande zote???Mijanaume mingine bwana.....HOVYOOOOOO!
 
Hii ndo inaitwa tamaa mbaya....huku atake mke wa kuzaa tu na kulea kule atake binti wa kumpa maraha!!Siangetafuta anaefit pande zote???Mijanaume mingine bwana.....HOVYOOOOOO!
to be honest wanadai inakuwa vigumu kumpata wa hivyo.
Akiwa charokee/wakubamba wanadai ni kufuga ugonjwa wa moyo in case utamweka ndani.Pia mke mwenye watoto ni mzee mpaka emotionally hata kama ana miaka 20
 
Jamani wana JF ninaomba msaada wenu,
Kuna binti mmoja nilikuwa namdate tukiwa shule tena O level me nikiwa IV yeye II nilipomaliza tu shule mawasiliano yalikata, imepita miaka 16 toka tulioonana na kuwasiliana mara ya mwisho.
Juzi kwenye sherehe za Mei mosi nilienda morogoro nikakutana naye na tuaongea sana, yeye alizalishwa mtoto miaka nane iliyopita lakini hajaolewa. Mimi nimeona na ninafamilia yangu ila kuna chembe ndogo ambazo bado ninamfeel, anataka tuwe wapenzi, nimeongea nae sana na kuhusu mazingira yanayotuzunguka lakini kang'ang'ania anasema eti mimi ndo wake wa maisha na yuko tayari kuwa back up, Je ndugu zangu mnanishauri vp kuhusu hili suala?

Personaly the way umepresent tatizo lako naona kama vile you are considering kumchukua huyo Ex wako kama back up. Na I really hope wakati mmekutana Morogoro hamkukumbushia maana ndo utakua umeharibu kabisa. Kwa jina la mwanao I believe kua ni mkristo in religion (am sorry kama nitakua nimekosea) but with all due respect .... Mimi ni mwanamke na najua how our minds operate kuliko wewe. Ungekua ni muislam walau issue isingekua ngumu. Naomba ukumbuke kua hayo majukumu na malengo ulonayo juu ya familia yako yataharibika, badilika au bomoka kabisa.

Huyo dada amekuambia hajali kua wa kuzugia tokana na ukweli kwamba anajua mapenzi, anajua wanaume na anakujua wewe vizuri na jibu la yoote hayo ni kua lazima utanogewa upende usimpende na akisha kupata atafanya njia yoyote uwe wake umuache mkeo (hakuna mwanamke anae mpenda kwa dhati mwanaume wake atataka wa she na mwingini....labda kama anaiba but mwisho wa siku anataka yeye awa ndo yeye) Huyo dada hakufai ikiwezekana muweke mbali kabisa mana kushawishiwa kulala na mtu ambae mmewahi lala ni rahisi mno tofauti na yule ambae hamjawahi kabisa. Na kwa kasumba zenu wanaume kama mkeo angekua na matatizo lazima ungeambatanisha katika maelezo yako.

Nakutakia kheri katika maamuzi utayochukua... maana najua tutaongea sana but at the end of the day you have the power to make the final decision...
 
Hii dhana ya kusema nimeoa wife material mwenye uwezo wa kulea watoto na nje natafuta kiburudisho naona ni ujinga tu. Je wakati unaburudika ukijikuta unazaa who's going to raise that unwanted kid? Wife material au kiburudisho?
 
mbona hawawajuzi hao wife materials kuwa wewe ni wa kutunza nyumba tu? au kama vipi si ukishamaliza mpango wa kuzaa wangekuwa wanaacha hao wife materials na kuprovide everything kwa ajili ya watoto nao wakahamia kwa hivyo VIBURUDISHO?
kuna ambaye hataki kuburudishwa freely (bila kubanwabanwa na hao wife materials)?
 
huyu baba david namuona kama nyau kabisa. hebu waangalie wanao afu fikiria siku ukifa nani atawalea? tena kifo chenyewe ni cha kujitakia kwa magonjwa? acha tamaa rudi kwa mkeo mwambie akupe style unayotaka na mpende,huo bibie atakuwa ashapitia kwa wengi na anataka kukupa zawadi ya kaugonjwa nawe uhangaike nao.Kam huna good terms na mkeo kaa nae mzungumze mfikie mwafaka.
 
to be honest wanadai inakuwa vigumu kumpata wa hivyo.
Akiwa charokee/wakubamba wanadai ni kufuga ugonjwa wa moyo in case utamweka ndani.Pia mke mwenye watoto ni mzee mpaka emotionally hata kama ana miaka 20

Hoyo kali!!!Hahaha..ila mpendwa mbona kama unaongea kutoka moyoni??
Nwy yote ni ujinga...kama unataka ndoa tulia kwenye ndoa..kama unataka kuruka huku na kule achana na ndoa!Ya nini kumpelekea mwenzio magonjwa ya moyo na maUkimwi wakati babu wa Loliondo hataishi milele!
 
Yes uta rise everytime you fall as long as your real wife keep on forgiving you. Siku akichoka uta fall everytime you fall.
Dear FP,

BUT::::Our Greatest Glory is not in Never Falling But in Rising Every time WE FALL!!!!
 
Si ndio na mimi nashangaa ndugu yangu Fixed point

mbona hawawajuzi hao wife materials kuwa wewe ni wa kutunza nyumba tu? au kama vipi si ukishamaliza mpango wa kuzaa wangekuwa wanaacha hao wife materials na kuprovide everything kwa ajili ya watoto nao wakahamia kwa hivyo VIBURUDISHO?
kuna ambaye hataki kuburudishwa freely (bila kubanwabanwa na hao wife materials)?
 
The naked truth is:

Kama ex-g/b mliachana "kwa amani" - no matter muda gani umepita - chances za ku-redo ni kubwa sana kama mtajiweka kwenye "nafasi" hiyo. Mtoa mada amesema "waliongea sana" huko Morogoro, so what do you expect out of "kuongea sana"... The very best thing to do, kama hutaki ku-redo ni ku-avoid "mawasiliano" na ex-g/b..basi.
 
Kweli duniani kuna watu na viatu. Hapa waweza kuta mtoa mada ni my husband I real feel sick. Maana wengi hapa tunatumia fake IDs. Yaani wanandoa inabidi tusali sana. Nimewaza sana kuhusu hili. Hubby anaaga naenda Moro Darling, unanyoosha nguo zake unapanga kwenye sanduku na kumkumbusha asisahau perfume yake nzuri. Kumbe huko Moro ana Kiburudisho. Mimi ndio maana nasema I am spying on my hubby and will keep on doing that for the sake of him, myself and our children. Yaani tufe na ukimwi hivi hivi na kuhacha watoto yatima. Abiria chunga mzigo wako. Alafu wanaume wanakuwa wakali hawapendi kupelelezwa wakati wenyewe mnaona leo, you guys are soooo weak and easy to seduce.
 
Ninachojua mimi uhawara haufi kabisa na hasa kama mliachana ktk mazingira ya amani,Ushauri mzuri mliompa baba David sijui kama ataufanyia kazi shetani ana nguvu bana!!!!!
 
inawezekana amekuona saizi umependeza na una kazi yako ya maana ndo ameamua hivyo
 
Kweli duniani kuna watu na viatu. Hapa waweza kuta mtoa mada ni my husband I real feel sick. Maana wengi hapa tunatumia fake IDs. Yaani wanandoa inabidi tusali sana. Nimewaza sana kuhusu hili. Hubby anaaga naenda Moro Darling, unanyoosha nguo zake unapanga kwenye sanduku na kumkumbusha asisahau perfume yake nzuri. Kumbe huko Moro ana Kiburudisho. Mimi ndio maana nasema I am spying on my hubby and will keep on doing that for the sake of him, myself and our children. Yaani tufe na ukimwi hivi hivi na kuhacha watoto yatima. Abiria chunga mzigo wako. Alafu wanaume wanakuwa wakali hawapendi kupelelezwa wakati wenyewe mnaona leo, you guys are soooo weak and easy to seduce.

hapo unataka kujipa ugonjwa wa moyo tu,
mtu mzima hachungwi mama!!!!!
N a siku zote nishasema na narudia tena kusema,
NANI ALIKWAMBIA KUWA MWANAUME ANAPOSEX NJE,
BASI NDO MAPENZI KAYAHAMISHIA KWA HUYO KIMADA?

JAMANI MAPENZI NA KUJALI SI KUNGONOKA TU,
NYUMBA KUBWA WALA USIJIPE PRESSURE,
MZEE ATARUDI TU KWAKO AKITOKA HUKO MOROGORO,
KWANI WEWE NDO MKEWE WA KUFA NA KUZIKANA NA NDIO KIPENZI CHAKE,
BTW: HIZO NYINGINE NI FANTASY TU,

SORRY!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom