Mpenzi wa sirini ni mtamu kuliko anaejulikana๐Ÿƒ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™„๐Ÿ™„

NI vile Tu Money Penny uliolewa mapema Sana, ungekuwa bado mtaani kama Mimi ungeunga tela, wenzio tunafaidi chini ya Jua balaa, mambo NI fayaa na maisha yanaenda?!๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
Sasa kumbe umeolewa alafu bado una mazoea na watu ambao hawapo kwenye ndoa!? Jiandae kuharibu ndoa yako maana hawata kushauri jambo la maana juu ya ndoa yako. ACHANA NAO KAA MBALI KABISA.

Ok nirudi kwenye mada nikweli wanaume tunapenda wapenzi wasiri kwani tunakuwa atuna malengo nao wao wapo ili kutuondolea ham zetu tu, tunafurahia mapenzi ya siri kwa sababu tunajua ata tukikuacha una pakwenda kuolalamika kwasababu hakuna anaekutambua ww kama mpenzi wangu
 
Aisee
Nina ndoa ya Miaka 35, atakaeiba na aibe salama
Siwezi hukumu asieolewa huo ni uoga,ubaguzi, ujinga na ushamba
Tena ninao wengi mbona ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Doh wasioolewa wanakazi basi kama unawatumia kama toilet pepa na kuwatupa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom