Mpenzi wa kwanza maishani hasahauliki?

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,711
1,015
Wana MMU eti huu mtazamo huwa ni kweli au?
Kuna watu wanasema huwezi kumsahau mpenzi wako wa kwanza.Tena kwa KE anamkumbuka mtu wake wa kwanza aliyemtoa usichana,atakumbuka mahali alipotolewa,mchezo ulivyokuwa na mengineyo!Kumbukumbu hii hukaa mpaka kifo
 
jf watu wapya wamekuja kuleta fujo tu humu nyuzi zinarudiwa rudiwa na upumbavu mwingi
 
Aseee,kumbe bado jamaa wa IS wapo?Anyway,kumkumbuka na hakuhusu ni ukosefu wa adabu kwa wa sasa.Labda kusalimiana tu.
 
ha ha ha leooooooo bora hata ungeanza na bwana asifiwe labda upepo ungekuwa shwari
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom