Mpenzi wa kike

SULTANI

Member
Jul 6, 2011
53
15
Wapendwa wana JF akina dada, hamjambo??? mimi ni mwanamume, kwa heshima na taadhima nimeona na nimeamua kutafuta mpenzi hapa JF.
Mpenzi nitakaempa mapenzi yangu yote.
Wale wanaopenda matani,mimi sitanii nipo serious kabisa. Akipatikana na nikathibitisha yupo serious mambo yanaanza mara moja.

Mpenzi mwenyewe ni muhimu awe mpole kwa vile najijua mimi ni mpole pia, siyo fara bali ni mpole. Pia awe ni mtu anaependa maendeleo.

KUHUSU MIMI:
TUTAONGEA ZAIDI KWENYE PM.
 
humu JF wanawake ni wawili tu na wamesha olewa, wengine woooote ni madume yenye ID za kike. Imekula kwako, rudi mtaani kwako ukapige magoti kwa wale wadada uliowaringishia kuwa unaenda kuibua chombo kikali kutoka JF
 
Duuuuuuuh,hii kali, sijamringishia mtu, hao wawili si wanandugu zao??? na jamaaa zao?? waombe waokoe jahazi mkuu.
 
Sasa kama akijitokeza alafu hujaridhika naye utamwambiaje. kaza buti humu wapo wengi tu ambao wapo single utapata
 
Wapo wengi mbona siwaoni?????, kigezo kikuu nimesema awe mpole,sasa yeye akijijua ni jeuri na mkali kama pilipili,kwa nini a aply??? hata hivyo kwa heshima na taadhima na kwa unyenyekevu nitamwomba samahani kuwa haitakuwa rahisi kuwa wapenzi kwa sababu.......
 
<br /> <br /
 
humu JF wanawake ni wawili tu na wamesha olewa, wengine woooote ni madume yenye ID za kike. Imekula kwako, rudi mtaani kwako ukapige magoti kwa wale wadada uliowaringishia kuwa unaenda kuibua chombo kikali kutoka JF
<br />
<br />
acha uongo! Sultani kila la heri kaka.
 
Wapo wengi mbona siwaoni?????, kigezo kikuu nimesema awe mpole,sasa yeye akijijua ni jeuri na mkali kama pilipili,kwa nini a aply??? hata hivyo kwa heshima na taadhima na kwa unyenyekevu nitamwomba samahani kuwa haitakuwa rahisi kuwa wapenzi kwa sababu.......

tumia darubini
 
Wapendwa wana JF akina dada, hamjambo??? mimi ni mwanamume, kwa heshima na taadhima nimeona na nimeamua kutafuta mpenzi hapa JF.
Mpenzi nitakaempa mapenzi yangu yote.
Wale wanaopenda matani,mimi sitanii nipo serious kabisa. Akipatikana na nikathibitisha yupo serious mambo yanaanza mara moja.

Mpenzi mwenyewe ni muhimu awe mpole kwa vile najijua mimi ni mpole pia, siyo fara bali ni mpole. Pia awe ni mtu anaependa maendeleo.

KUHUSU MIMI:
TUTAONGEA ZAIDI KWENYE PM.
ongera na pole sana
 
jitaidi unaweza mpata atakaelingana na wewe....endelea hivyohivyo..........
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom