Mpenzi unaempenda anapokusumbua unafanyaje?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Amani iwe kwenu GT!
Kweli mambo haya yana wenyewe mie yamenishinda!
Naona nifikiri mambo mengine!
Mnasemaje?

Maalim wenye majina haya huwa hawakati tamaa kabisa, ikishindikana mpigie dua la nguvu atabadilika tu, ndio mahusiano yalivyo,embu sema anasumbua na nini?

Thse thngs hv no exactly soln.just depend on u alone.learn her and u wl be in th position to manage th situation.

Chuma hufua chuma.
Hujajiandaa na bado hjawajua wanawake vizuri. Most ni liars, head knockers, traitors....chagua moja say Yes/No to ladies who pretend kujua kuwasogeza wanaume kwa style hy au mwache kabisa nusu shari yatosha.

mapenzi ni kuvumiliana. it is nature vitu viwili au zaidi zikiwekwa/vikikaa pamoja msuguano ni lazima. weka kilainisho kidogo kupunguza msuguano lakini msuguano ni palepale. Hivyo hivyo katika mapenzi msuguano ni kawaida inahitaji management.

Naona siku hizi malalamiko yanazidi kuja tu!

WATU wa hii professional tusaidieni, look for funds and do some resarch to come out with some facts. Mahusiano mengi siku hizi ni kero, yanasumbua sana kutokana na elimu duni ya haya mambo, au kutokana na mabadiliko ya hali za maisha nk.

Inawezekana yeye au mimi ni mjuzi wa haya mambo. Je nafanyaje inapotukia hivi?

kama anakusumbua sana mpe likizo tulia kimya kama kweli anaku feel atakutafuta

Maalim wenye majina haya huwa hawakati tamaa kabisa, ikishindikana mpigie dua la nguvu atabadilika tu, ndio mahusiano yalivyo,embu sema anasumbua na nini?

Kwa ujumla mapenzi ni uvumilivu. Lakin huyu amezidi kusumbua! Ndio nahitaji kupata uzoefu wenu nin kifanyike kwa huyu mpenz?

Back
Top Bottom