mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

Mapenzi hayana formular kabisa, muda mwingine watu wanafanyiana yote hayo na wanadumu na kufikia kwenye ndoa kabisa na pengine wengine wanaishia kulia kabisa na tena wengine wanajenga pamoja wakiwa wachumba na mwisho wa siku mmoja anatapeliwa. haya mambo hayana gurantee kabisa maana unaweza kufanya hivyo kwa mumeo nae akatokomea kusiko julikana.

Pengine tujue kabisa Mapenzi ni biashara kama biashara nyingine yana faida na hasara zake na tujue kabisa kupenda ni kutake risk maana muda mwingine unaweza usiwe na uhakika kabisa mnapendana kiasi gani au unapendwa kiasi gani na hayo maswala ya kupena atm huwa yanakuja tuu, kwa hiyo ni vyema tujue tunapo amua kupenda tuna take risk tuu.

Mimi nina rafiki yangu alimsomesha msichna lakini mwisho wa siku msichana alimgeuka kabisa na kutafuta mwingine, kwa hiyo tunatakiwa tujue kabisa tunapotoa atm n.k kuna mawili either kulizwa au kutolizwa yani ni kama gambling
 
Smile unaonekana una Stress nyingi sana Wanaume wamekusababishia maishani..

Sometimes kwenye maisha tunafanya vinavyotupa furaha wakati huo sio kwa sababu ya kupata kitu in return..
honestly wala ...mi nimejilia tu raha rafiki yangu...mwezi ujao nitakuwa nae kwa wedding yako..utaona mwenyewe
 
Mapenzi hayana formular kabisa, muda mwingine watu wanafanyiana yote hayo na wanadumu na kufikia kwenye ndoa kabisa na pengine wengine wanaishia kulia kabisa na tena wengine wanajenga pamoja wakiwa wachumba na mwisho wa siku mmoja anatapeliwa. haya mambo hayana gurantee kabisa maana unaweza kufanya hivyo kwa mumeo nae akatokomea kusiko julikana.

Pengine tujue kabisa Mapenzi ni biashara kama biashara nyingine yana faida na hasara zake na tujue kabisa kupenda ni kutake risk maana muda mwingine unaweza usiwe na uhakika kabisa mnapendana kiasi gani au unapendwa kiasi gani na hayo maswala ya kupena atm huwa yanakuja tuu, kwa hiyo ni vyema tujue tunapo amua kupenda tuna take risk tuu.

Mimi nina rafiki yangu alimsomesha msichna lakini mwisho wa siku msichana alimgeuka kabisa na kutafuta mwingine, kwa hiyo tunatakiwa tujue kabisa tunapotoa atm n.k kuna mawili either kulizwa au kutolizwa yani ni kama gambling
kwanini tusifanye mambo kwa mipaka...? kuna haja ya wapenzi kufanya mambo makubwa?
 
Mtu unagharamia weeee halafu wenzio waparamia yaani ndo akili inapoanza kuchaji vizuri...Issue za kusomeshana, kupelekana kwa ndugu sijui kununua mizawadi sizifagi kabisa.
 
utatambulisha wangapi kwanza?
 
Back
Top Bottom