Mpenzi kukuomba pesa ya sherehe ukiwa mgonjwa. Huyu ni mwema kweli?

Kuumwa kwako sherehe inasimama?

Tatizo sio mwenza wako, tatizo ni jamii ya sasa tumejijengea tabia za ajabu, ajabu.., huo mchango wa send off ni kama deni, asipochanga hapo huenda hata akatengwa..., au kama wewe ulishachangiwa hivyo na wao wamekuja kuchukua zamu yao imefika....

Huenda yeye ndio yupo kwenye firing line, ingawa huwa mnakopa nyote (kuomba michango) lakini lawama zinakuja kwake tu, hivyo anapunguza kero za kesho...

Kwa ushauri tu tuachane na hizi tamaduni za ajabu ajabu za kuingizana kwenye gharama kwa vitu vya kupita.
Kuondoa tatizo ni kukataa kuchangiwa/kuchangisha. Sasa umesha changisha kwa vurugu mpaka siku unaenda kanisani kuwowa, halafu unaombwa mchango unaanza kuleta ujanja ujanja. Lipa na wewe.

Ila kuna watu wanaomba vibaya michango ya harusi... yaani inakuwa ni vita.
 
Duuh. Hii imenikumbuamsha mwaka 2016 kuna demu ilikua na mpenda saana. Siku moja naumwa akanipigia tukasalimiana vzr nikamwambia mwenzio naumwa. Hakujali kama hajanisikia. Nikarudia tena naumwa, haku respond kuonesha kujali. Akaanza kuomba hela nkamwambia nimekuambia naumwa au hujanielewa. Aisee alichokibu kilinipa jibu la mwisho kuwa mm na yy by by. Alijibu hivi mimi nahitaji hela nimwambie nani..? nilimjibu tu vzr mm sijakuoa hivyo sio mzazi wako sawa.. na hela yangu ni ya kwangu acha iniuguze sikutumii uza nyapu yako.. ikawa by byy miaka 3 mbele akanitafuta kuniomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
ulimnyanyasa sana hutapata bahati km huyoo demu!! mmeambiwa muishi nao kwa akili.....kwa muktadha huu weye huna akili!! mwache mara moja na unipe number zake...
 
Huyo demu yupo sahihi kabisa.. wewe ndio unamatatizo makubwa na tena kama mwanaume alie komaa kweli kweli huwezi mjibu mwanamke hivyo... Jitathimini sana mwanaume mwenzangu
 
Tafuta hela mwanaume, mwanamke mda wote anahitaji hela, kutokuwa na pesa za kumpa mwanamke ni uzembe, ukiona anakuudhi muache apate wengine wenye uwezo wa kumpa hela bila kuombwa.
 
Vijana siku hizi wananishangaza sana.. hadi wauzaji mwili, wanawaita wapenzi na wanawashobokea sana, mkikuwa mtaacha ulimbukeni wa mapenzi kwakuendeshwa kwasababu tu ya uke.. kuna wafanya muwe mazuzu na kushindwa kutumia akili
 
ulimnyanyasa sana hutapata bahati km huyoo demu!! mmeambiwa muishi nao kwa akili.....kwa muktadha huu weye huna akili!! mwache mara moja na unipe number zake...
Wewe ni andazi kinoma noma.
 
Back
Top Bottom