kimolo!!! hii ni style tu kama zilivyo nyingineSalaam wana Jf.Hivi ni vyema mpenz wako akajua ratiba yako ya kutwa nzma. Mf. Wakat wa kula unampgia simu, unatoka ofisini unampgia, kama ni mama ukianza kupika, ukimaliza, kwenda sokoni.Pia hii ni ishara ya upendo au mateso?