Mpenzi kujua ratiba yako!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,585
5,757
Salaam wana Jf.
Hivi ni vyema mpenz wako akajua ratiba yako ya kutwa nzma. Mf. Wakat wa kula unampgia simu, unatoka ofisini unampgia, kama ni mama ukianza kupika, ukimaliza, kwenda sokoni.
Pia hii ni ishara ya upendo au mateso?
 
Hamna kitu ninachochukia kama hicho, haya ni mateso tu, hamna cha upendo wala nini?mishe zako na zake kila kivyake, mnakutana homiz tu.
 
Sio lazima kila kitu but mawasiliano yawe active
SIO MARA OOH NILIENDA NAIROBI NDO NIMERUDI LEO
 
mawasiliano ni muhimu sana. Ukiona mtu hataki mawasiliano basi ujue kapoteza uaminifu. Nina uzoefu na hii kitu bhana
 
Kama yote uyafanyayo ni halali what ar you trying to hide? Cha msingi nikichelewa namwambia tu dia nipo rombo grinvyuu napata kongoro apecial na jamaa zangu nitachelewa...to me this is quite enough!
 
Kama una nafasi ni vizuri kufanya hivyo, iila isiwe ukishindwa kumjulisha inakuwa ugomvi, hii ndio wanasema mawasiliano kwenye mahusiano
 
inategemea na mapenzi yenu mlivyoyaweka tangu mwanzoni kabisa wa kutongozana, mfano mi babe wangu huwa tunachat sana, so kila saa kila mtu anajua mwenzake yuko wapi na anafanya nini. Hata nikiwa nalewa, mamaa anajua kidume kiko kinakata lager saiz
 
Kupeana taarifa ni jambo jema sana kwani huwezi jua kitakachotokea huko.
Jua kwamba ukishaingia kwenye mahusiano una surrender part of your sovereignty.
Walio wazito kufanya haya ujue kuna siri nyuma ya pazia.
 
sio issue zote mtu azijue bana kama ni safari za kimkoa itabdi azijue sio za hapa hapatown itakuwa mateso utasikia oohh uwahi kurud mnachungana kama mbuz
 
Kama ni mkeo si mliachana asubuhi na ukirudi atakuona ? kama kuna dharura sawa ntamjulisha.

Kama ni GF sina haki ya kumchunguza kiivyo,akinihitaji ananitafuta nami nikimhitaji namtafuta sio unamchunga binti wa watu miaka afu maskini hata sio muoaji ndio zinakuja zile kauli za 'umenipotezea muda'.
 
Salaam wana Jf.Hivi ni vyema mpenz wako akajua ratiba yako ya kutwa nzma. Mf. Wakat wa kula unampgia simu, unatoka ofisini unampgia, kama ni mama ukianza kupika, ukimaliza, kwenda sokoni.Pia hii ni ishara ya upendo au mateso?
kimolo!!! hii ni style tu kama zilivyo nyingine
 
Kwangu mimi ni muhimu sana kwa wapenzi kujuana ratiba zao maana hii huongeza imani na hata upendo kati ya wapenzi.
 
Wivu unapokua to the extreme ndo tabu zake ..... mateso hayo
 
Mawasiliano ktk mapenz ni muhimu lakin isiwe too much, itakuwa karaha nakugombana. Sio mpnz naenda kubath, naenda toilet, baby naenda darasan, mpnz naenda kula duh had kero.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom