Mpenzi jini!

Good Guy

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
4,538
Likes
118
Points
160

Good Guy

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
4,538 118 160
Jamani japo inatisha don't u wish ungekua na mpz jini.Nackia mamboz wanayotoa c mchezo,unaonaje kuhusu kuwa na mpz jini.
 
TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,945
Likes
295
Points
180

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,945 295 180
Chalii yangu jani limeshakuzidi nguvu, kama vipi likaushie manake unapoelekea tutakupoteza............
 
klorokwini

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
8,707
Likes
53
Points
135

klorokwini

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
8,707 53 135
heheeh tangu nijiunge JF ,hili ndio sredi la kwanza nalipa heshima ya 5 star.
ni kweli tunahitaji majini ili kuongeza competition katika hii seksheni, hii itasaidia kuboresha ndoa na mahusiano, na kwavile majini hayaonekani pia itaepusha mazara ya kufumaniwa. halaf naskiaga majini hayana feki orgasm.
 
afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,154
Likes
2,451
Points
280

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,154 2,451 280
heheeh tangu nijiunge JF ,hili ndio sredi la kwanza nalipa heshima ya 5 star.
ni kweli tunahitaji majini ili kuongeza competition katika hii seksheni, hii itasaidia kuboresha ndoa na mahusiano, na kwavile majini hayaonekani pia itaepusha mazara ya kufumaniwa. halaf naskiaga majini hayana feki orgasm.

mmmhhh Klorokwini wewe aaa
umejuaje majini hayana feki orgasm ????
 
Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Messages
2,879
Likes
458
Points
180

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2007
2,879 458 180
Jamani japo inatisha don't u wish ungekua na mpz jini.Nackia mamboz wanayotoa c mchezo,unaonaje kuhusu kuwa na mpz jini.
Good guy mwana JF mwenzetu, unahitaji wokovu, ikiwa ni pamoja na kufunga na kusali ili uondokane na mawazo potofu, wawazia kufanya ngono na jini, jee umekuwa Sindbad wa Baghdad???? Nakushauri usijepata mpenzi jini, likikunasa haliondoki na litakutesa sanaaa kwa kwenda mbele mpaka utajuta!!!
 
samora10

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2010
Messages
7,014
Likes
1,974
Points
280

samora10

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2010
7,014 1,974 280
heheeh tangu nijiunge JF ,hili ndio sredi la kwanza nalipa heshima ya 5 star.
ni kweli tunahitaji majini ili kuongeza competition katika hii seksheni, hii itasaidia kuboresha ndoa na mahusiano, na kwavile majini hayaonekani pia itaepusha mazara ya kufumaniwa. halaf naskiaga majini hayana feki orgasm.
lol! ngoma pia hayana
 
Forum statistics

Threads 1,203,228
Members 456,680
Posts 28,105,486