xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,320
- 4,696
Wakuu poleni na uchovu wa siku nzima.
Nina demu wangu ambae tulifahamiana na kuanza mahusiano kwa muda sasa.
Ila kuna tatzo kidogo katika mahusiano yetu. Mpenzi huyu ananilalamikia almost kila siku kwanini simtafuti kwenye simu wala face to face ilhali anajua ugumu na ubusy ninao kuwa nao katika shughuli za kutafuta kipato.
Najitahidi kumtimizia mahitaji yake especially kipesa (tena nampa pesa sana tu) lakini anashindwa kufikiria kuwa nikiacha kufanya kazi na kuendekeza mapenzi nitashindwa kupata pesa nyingi ya kumpendezesha na kumhudumia (hapo pia atalalamika simjali)
Wakuu nisaidieni jinsi ya kumwelewesha maana kila nikimwambia hanielewi. Nimweleweshe vipi?
Sent using Uncesored Device