Mpenz wangu anajini jaman ,,,,,,,,,,cjui ni mchawii.....?

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,344
462
HII hali inanitisha na kuniogopesha sana ..nina mda wa miez m3 na mpnz niliye naye sasa...na nnampenda sana ila kila siku upendo wangu unazid kushuka kutokana na kutokuwa na elimu juu ya hayo mambo maana kla baada ya sku 2/3/4 anweza akaondoka(anabaki mwil tuu) ucku na akirud ansema alkuwa kwa rafiik yke anaitwa maimuna...mwanzoni nilikuwa naogopa sana ila kunasiku nilmbana aliniambia ukwel woote jjuu ya hlo dubwasha..Ndipo nikajua kwamba ni jini na si mchaw, kuna watu baadhi waliniambia laweza kuwa jini na wengine wakasema atakuwa ni mchawi .huyo mwanamke me siishi naye nilikuwa na mazoea ya kulala kwake siku 4 mfululzo..ila baada ya kuexperience hay o mambo nikakata mguu kabisa na mawasiliano nikapunguza kwa sababu huyo jini aliwah kunitisha na kumtaka yule m/ke awe(kimapenz) na rafiki yke aitwaye yusuph...ila alikataa ndio chanzo cha mimi kugopa kabisaaa maana niliogopa kuweka bifu na hivyo v2..... jaman nashindwa kukielezea kisa hiki vzur kwa sababu ni kirefu kdogo na mimi sina weledi ktka uandishi ila nnachowaomba n ushaur tuu huenda nikapata zaid ya nilioupata kwa marafiki na ndugu+shehe....niendelee kumpotzea hiv hiv japo yy hatak suala la kuachana kabisa ...anasema yeye ndio mwenye maamuz kat ya mimi au yusufu ...hawezi akatembea na jini.....japo kuna siku MAIMUNA alimwambia utakuja juta maana tabia yake sio nzur kwamba nina m/ke zaid ya yeye,alichonisihi yule m/ke akasema me sijali alichokisema ila nisitoke nje ya penz lake maana nikitoka hazma yake itakuwa ime timia.....nipo njia panda jaman...nifanyajee hap0????
 
haya sasa wale wa kulelewa, mmeona?

nauliza mnanona sasa?

endeleeni tu kutafuta wa kuwaleeni,

mkiwapata, msiogope mtakavyokutana navyo ndani!

small stop!
 
Huyo Yusuph ambae ni counter part wako umeshawahi kumuona?? Au ni invisible??
 
Mmmh!....Hivi bado tu uo unajiuliza cha kufanya hayo makitu si ya kukaa nayo karibu aisee,sasa kama huyo mpenzi wako anaweza kuondka hata siku nne unajua anchofanya huko anakoenda? ningekuwa mimi nisingeanza kujishauri mara mbili
 
Hizi imani za kijinga kabsa..anaondoka anaacha mwili,then unajuaje kaondoka?.mambo ya majini ni imani tu.
 
Tatizo ni wewe!
Kama unajua kwa nin usijiengue na kumkabidhi Yesu maisha yako. Ngoja uje unyonywe damu unachezea Jini eti..
 
Hivi nyie mnaosema mshike yesu litaondoka mpo serious? Aliyetoa mada anazini ni dhambi katika biblia; atamshikaje Yesu the same time? Au na nyie ni walokole wa type hii? Mi nakushauri achana nae tafuta mwingine..
 
Back
Top Bottom