Mpeni nafasi Rais Magufuli afanye kazi na Kikwete apumnzike

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Yani hata kama wanawalipa watu kueni basi.

Ninashauri mwacheni apumzike Rais wetu mstaafu kikwete. Mpeni nafasi aliepo afanya kazi wala tusiweke beef ama kuonyesha huyu alikuwa mzuri zaidi ya mwingine na post zisizoisha kilasiku.

Tunaitaji maendeleo tunahitaji upendo toka kwa wote waliopo na waliostaafu

Ahsanteni
 
Yaani hats kama wanawalipa WATU kueni Basi

Mnashauri mwacheni apumzike Rais wetu mstaafu kikwete...
Mpeni nafasi aliepo afanya kazi wala tusiweke beef AMA kuonyesha huyu alikuwa mzuri zaidi ya mwingine Nanpost zisizoisha kilasiku

Tunaitaji maendeleo tunaitaji upendo toka kwa wote waliopo NA waliostaafu

Ahsanten
Vumilia tu, watu wamemkumbuka aliyekuwa kiongozi wao! Ujue kuna shida awamu hii
 
uu kwa sasa kuishabikia chadema au ukawa haihitaji Hekima busara wala maarifa. Ni kuwa Na mdomo, masikio na pua tu tayari funga Kazi. Unakuwa Chadema fuluuu etiii na unakuwa husikiii kitu ni kiziwi mazimaaa.
 
Back
Top Bottom