Mpeni macredit mdogo wangu wa kitaa kwa Kazi yake hii hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,553
44,722
Anauza nyumba za ma box kwa 2000 tumpe push kajanja kana kipaji. Huyu atakuwa fundi imeisha hio kibongo bongo ana idea hamna hata haja ya kusoma engineering

IMG_20201211_114250.jpg
IMG_20201211_114238.jpg
IMG_20201211_114230.jpg
IMG_20201211_114215.jpg
IMG_20201211_114225.jpg
 
Unakosea sana unaposema hamna haja ya kusomea Civil Engineering

Elimu na kipaji vikichanganywa vinazaa kitu perfect, usimpe mentality ya kutokusoma

Kama bado ana umri sahihi wa kusoma mpe support asomee masomo ya sayansi
 
Miaka tisa
Anajitahidi, akiweza kutengeneza kazi safi basi watu wanaweza kununua kwa kusupport maana kwasasa mtu kununua hata kwa mapambo siyo rahisi badala ya kuwa pambo itakuwa uchafu. Ila kwa umri wake anajitahidi sana la msingi aendelee awe anatengeneza kwausafi. anafaya poa sana
 
Back
Top Bottom